Nini kinaisibu Tanzania ya kijani?

Haijawahi kutokea Tanzania yetu ikashuhudia haya yanayoendelea. Kwamba uchaguzi unaisha mwezi mzima hakuna Cabinet? Baraza la mawaziri! Hili sio ndio serikali?....

Katiba inataka Cabinet iundwe baada ya muda gani tangu kuapishwa kwa Rais, na iwe na ukubwa gani?
 
Back
Top Bottom