Nini kinafuata baada ya mafanikio?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,660
Reaction score
89,486


Binadamu tumekuwa tukipambana huku na huko katika harakati za kutafuta mafanikio katika maisha na mtu akishayapata huanza kumaintain ili yasishuke, sasa ndio tayari umeshapata mafanikio so what next? Kifo.

Unafikiri tunayoyatenda ndiyo tunayopaswa kutenda ama tunatendeshwa ndio maana hatujui nini tunachotakiwa kutenda?

Upambane ili kupata mafanikio ndio jambo sahihi tunalopaswa kutenda au ni system iliyoandaliwa na watu baadhi ili kumlaghai binadamu.

Nini maoni yako juu ya hili?
 
Mi nafkiri tuendelee kupambana kuyasaka mafanikio tena kwa njia halali kabisa tukimtegemea Mungu.
Hata ukishapata mafanikio hutakiwi kuridhika,,,,ni kuendelea kutafuta pamoja na kusaidia na wengine
 
ifanikiwa unakuwa happy from deep inside you, alafu utajivunia mafanikio yako na struggle zako. kwa kweli kufanikiwa raha sana asikwambie ntu.
lakini niseme tu watu wengi wana lengesha mafanikio na hela tu ambapo ni makosa! ata kama ulikuwa unamfukuzia msichana kwa miaka saba ukampata hayo pia ni mafanikio, lakin tutasema sio mafanikio positive
 
Baada ya mafanikio matamanio mapya huja.
Mf.umepata mke,utawish upate mtoto
Umepata pesa,utatamani pesa zaidi.

Philips X2560
 
Mafanikio mengine kero mtu ulali kwa raha bora mafanikio ya uhakika wa kula,kuvaa,kulala na k zingine
 
Baada ya mafanikio matamanio mapya huja.
Mf.umepata mke,utawish upate mtoto
Umepata pesa,utatamani pesa zaidi.

Philips X2560
So hakuna nje ya hapo..?
 
Maishani tunatafuta furaha tu. Hayo mengine ni njia ya kuifikia hiyo furaha.
 
Mafanikio ya kweli ni kumjua Mungu kumwamini kupitiaYesu Kristo mwokozi

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Mafanikio ya kweli ni kumjua Mungu kumwamini kupitiaYesu Kristo mwokozi

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
hapa hakuna mafanikio ya kweli wala ya uongo! what next baada ya mafanikio..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…