Nini kinafanya mahusiano yadumu?

Nini kinafanya mahusiano yadumu?

kuna jiran hapa wamekutana baba msukuma na mama mzaramo sasa ikifika saa 2 usiku utasema sio mtu na mkewe wanavyobishana... mpaka saa 5 usiku nyie laleni wao kazi moja!
 
Mkuu wewe mahusiano yako yamedumu ama yalishakufwaaa?

Kama yamedumu kati ya wewe na uliye naye nani weak na yupi ni strong?
 
Kinachofanya mahusiano yadumu cha kwanza uhai aliokupa mungu bila huo akuna mahusiano

Ni kweli
Ila kwenye maisha yetu sisis kama vijana , kuwa wakati unaona mtu anavunja mausiano na mtu fulani, anaenda kuanzisha na mwingine.
Nilitaka kujua nini chanzo ( Strong man lazima apate weak woman ili mausiano yadumu , Hivyo hivyo kwa wanawake lazima apate weak man ili mausiano yadumu )
 
Ili mahusiano ya dumu lazima mmoja awe anajishusha(weak) unless kila sku ndan patakuwa panawaka moto.
 
Back
Top Bottom