Punguzeni kulia lia hela kidogo tu haijaingia kwenye account tayari umeanzisha uzi ,, kampuni za betting hutumia mifumo ambapo inahitaji kampuni yako ya simu iruhusu pesa iingie kwao halafu wao wanakuwekea digit kwenye account yako mfumo kwa kawaida unaweza kukumbwa na hitilafu muda wowote. Hakuna uzembe hapo tena wanafanya kila wawezalo hela yako iingie kwenye account waipige kihalali. Nakutoa pesa ni hivyo hivyo kama mifumo ikizingua kwao au kwa kampumi yako ya simu inaweza kuchelewesha