N ngwere96 Member Joined May 16, 2019 Posts 44 Reaction score 16 Jul 4, 2019 #1 Habari wana jamii forum... Kama kichwa cha habari kinavyo eleza nini kinachoendelea msimbazi maana MAFUMBO MENGI KUTOKA PANDE MBALI MBALI...
Habari wana jamii forum... Kama kichwa cha habari kinavyo eleza nini kinachoendelea msimbazi maana MAFUMBO MENGI KUTOKA PANDE MBALI MBALI...
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 8,097 Reaction score 10,951 Jul 4, 2019 #2 Hata hili lako nalo fumbo!
venance7 JF-Expert Member Joined May 15, 2019 Posts 558 Reaction score 1,659 Jul 4, 2019 #3 Na saa Saba imepita Kama upepo
kiss daniel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 982 Reaction score 2,471 Jul 4, 2019 #4 Kilomon hataki ujinga ujinga
GAZETI JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 5,292 Reaction score 6,773 Jul 4, 2019 #5 Dah!! mungu saidia hizi habari ziwe za kweli.
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,776 Reaction score 42,935 Jul 4, 2019 #6 Kiloboy anafanya yake
leodigardcyrilo JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 3,441 Reaction score 1,853 Jul 4, 2019 #7 Kuna watu
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,834 Reaction score 40,649 Jul 4, 2019 #8 kuwa mswahili kazi sana. majitu majinga majinga ndio yamejazana kwenye hizi timu.
N ngwere96 Member Joined May 16, 2019 Posts 44 Reaction score 16 Jul 4, 2019 Thread starter #9 Haha...yanga mnaombea njaa wenzenu GAZETI said: Dah!! mungu saidia hizi habari ziwe za kweli. Click to expand...
Haha...yanga mnaombea njaa wenzenu GAZETI said: Dah!! mungu saidia hizi habari ziwe za kweli. Click to expand...
issac77 JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 5,858 Reaction score 12,767 Jul 4, 2019 #10 "E="GAZETI, post: 32056175, member: 37963"] Dah!! mungu saidia hizi habari ziwe za kweli. [/QUOTE]" "ziwe" au zisiwe?
"E="GAZETI, post: 32056175, member: 37963"] Dah!! mungu saidia hizi habari ziwe za kweli. [/QUOTE]" "ziwe" au zisiwe?
busha JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 1,711 Reaction score 2,579 Jul 4, 2019 #11 Ewe mwenyezimungu muumba mbingu na ardhi na vilivyomo. Inusuru simba sports club na maadui wasio itakia mema club yetu ya simba.
Ewe mwenyezimungu muumba mbingu na ardhi na vilivyomo. Inusuru simba sports club na maadui wasio itakia mema club yetu ya simba.
doup JF-Expert Member Joined Feb 26, 2009 Posts 2,718 Reaction score 2,901 Jul 4, 2019 #12 Mimi nawadha kwa sauti tu hawa wazee wanazani mpira siku hizi unaendeshwa na matunguli si watangulie tu mbele za haki! Wanaathari mbaka Taifa stars, kwa mambo yao. Wapewe hela wapunzike au waachie vijana wa kileo.
Mimi nawadha kwa sauti tu hawa wazee wanazani mpira siku hizi unaendeshwa na matunguli si watangulie tu mbele za haki! Wanaathari mbaka Taifa stars, kwa mambo yao. Wapewe hela wapunzike au waachie vijana wa kileo.
GAZETI JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 5,292 Reaction score 6,773 Jul 4, 2019 #13 issac77 said: "E="GAZETI, post: 32056175, member: 37963"] Dah!! mungu saidia hizi habari ziwe za kweli. Click to expand... " "ziwe" au zisiwe? [/QUOTE] ziwe
issac77 said: "E="GAZETI, post: 32056175, member: 37963"] Dah!! mungu saidia hizi habari ziwe za kweli. Click to expand... " "ziwe" au zisiwe? [/QUOTE] ziwe
Mtumpole JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,280 Reaction score 1,296 Jul 4, 2019 #14 venance7 said: Na saa Saba imepita Kama upepo Click to expand... Saa saba!
ruby garnet JF-Expert Member Joined Apr 10, 2017 Posts 2,922 Reaction score 3,916 Jul 4, 2019 #15 This is Africa
ryana fan JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 2,632 Reaction score 3,063 Jul 4, 2019 #16 GAZETI said: Dah!! mungu saidia hizi habari ziwe za kweli. Click to expand... Nimejikuta kucheka tu
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,946 Reaction score 55,960 Jul 4, 2019 #17 Mnatutafutia majungu tu