Nini kinaendelea mkwamo Ubungo Interchange ?

Mbona tunaambiwa serikali ina hela nyingi sana
 
Tunaomba kujua kuna nini kinaendelea kati ya WORLD BANK na Serikali
World Bank wamesema hawatatoa hela kufuatia bomoabomoa ya kikatili iliyofanyika Mbezi. Wamegoma. Ndiyo maana unaona hata kubomoa jengo la TANESCO tu imeshindikana.
 
Hapa ndipo huwa tuna pishana, mkuu BAK. Ukweli unaujua kabisa, tatizo ni unforeseeable challenges (relocation of Ubungo gas pipe, management of heavily traffic during construction), lakini na wewe unasisitiza unapotosha eti kama Ivuga alivyosema hawana ela? Jamanii ! Hata hivyo na mimi nitajitahidi ku'counter' upotoshaji huu na wa wengine kadri nitakavyokuwa nafanikiwa kuunasa.

Tuendelee mdogo mdogo.
 
World Bank wamesema hawatatoa hela kufuatia bomoabomoa ya kikatili iliyofanyika Mbezi. Wamegoma. Ndiyo maana unaona hata kubomoa jengo la TANESCO tu imeshindikana.
Hivi kuboa jengo la Tanesco kumeshindikana au wewe huna taarifa sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…