Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,718
Karibu mwaka mmoja tangu Mradi Wa Ubungo Exchange Uanze , hadi sasa hakuna kazi ya Maana iliyofanyika, kwani hata site clearence ambayo ni kazi ya kufanya wiki mbili tu katika hali ya kawaida hadi sasa. Haijakamilika .
Contractor wa Kichina wanasuasua sana kufika site na hata hakuna dalili yeyote ya kufanya kazi sana sana kuna vibarua wachache tu wa kitanzania wanaonekana na majembe yao.
Tunaomba kujua kuna nini kinaendelea kati ya WORLD BANK na Serikali?
Ghorofa la Tanesco wameshabomoa?Karibu mwaka mmoja tangu Mradi Wa Ubungo Exchange Uanze , hadi sasa hakuna kazi ya Maana iliyofanyika, kwani hata site clearence ambayo ni kazi ya kufanya wiki mbili tu katika hali ya kawaida hadi sasa. Haijakamilika .
Contractor wa Kichina wanasuasua sana kufika site na hata hakuna dalili yeyote ya kufanya kazi sana sana kuna vibarua wachache tu wa kitanzania wanaonekana na majembe yao.
Tunaomba kujua kuna nini kinaendelea kati ya WORLD BANK na Serikali?
Mbona hawasemi?Nnavyojua michoro ilibadilika,kwa kutumia mchoro wa kwanza wenye ghorofa tatu mkadarasi alikua amekamilisha Kazi kubwa ya awali,kwa bahari mabaya ilikuja kugundulika hela isingepatika ya kukamilisha ghorofa tatu hivyo kuamriwa kwanza upya tena..mchoro wa kwanza ulikua mpka na round about juu...kwa hiyo kikubwa kilichokwamisha ni kubadilika kwa michoro,na ukosefu wa pesa.
Hahahaha mwaka huu hamna pakushika? Hivi unafikiri kazi ya kuhamisha yale mabomba ya maji ni kazi ya nani? Hahaha tunajua mgependa kusikia kila mradi umekwama hahahaha lakini hilo halipo kamwe....unafikiri zile barabara za juu zinatengenezewa pale bara barani? Endeleeni kuota....Karibu mwaka mmoja tangu Mradi Wa Ubungo Exchange Uanze , hadi sasa hakuna kazi ya Maana iliyofanyika, kwani hata site clearence ambayo ni kazi ya kufanya wiki mbili tu katika hali ya kawaida hadi sasa. Haijakamilika .
Contractor wa Kichina wanasuasua sana kufika site na hata hakuna dalili yeyote ya kufanya kazi sana sana kuna vibarua wachache tu wa kitanzania wanaonekana na majembe yao.
Tunaomba kujua kuna nini kinaendelea kati ya WORLD BANK na Serikali?
Walibomoa upande mmojaGhorofa la Tanesco wameshabomoa?
kulikuwa na haraka ya nini basi kubomoa. Watu wamebomolewa nyumba na kufanywa hohehahe ndani ya nchi yao, halafu limradi lenyewe zero. Serikali ya awamu hii mtakwenda motoni tu, no way outGhorofa la Tanesco wameshabomoa?
Karibu mwaka mmoja tangu Mradi Wa Ubungo Exchange Uanze , hadi sasa hakuna kazi ya Maana iliyofanyika, kwani hata site clearence ambayo ni kazi ya kufanya wiki mbili tu katika hali ya kawaida hadi sasa. Haijakamilika .
Contractor wa Kichina wanasuasua sana kufika site na hata hakuna dalili yeyote ya kufanya kazi sana sana kuna vibarua wachache tu wa kitanzania wanaonekana na majembe yao.
Tunaomba kujua kuna nini kinaendelea kati ya WORLD BANK na Serikali?
Ok,we will bring BECK!!!!Kawabomolea nyumba wakazi wa kimara unadhani atapona. Sasa hivi hata akitubu atakuwa anajisumbua tu. Huoni hata kuzindua kumepungua.
Bring beck our money
Hahahaha mwaka huu hamna pakushika? Hivi unafikiri kazi ya kuhamisha yale mabomba ya maji ni kazi ya nani? Hahaha tunajua mgependa kusikia kila mradi umekwama hahahaha lakini hilo halipo kamwe....unafikiri zile barabara za juu zinatengenezewa pale bara barani? Endeleeni kuota....