Nini kinaendelea mkoani Arusha?

Nini kinaendelea mkoani Arusha?

  • Thread starter Thread starter DeletedMember281674
  • Start date Start date
D

DeletedMember281674

Guest
Greetings!
Katika pilika pilika zangu za maisha, nimejikuta nipo mkoani Arusha hapa Arusha Mjini. Nilichokiona leo katika hii barabara ya uhuru muda wa asubuhi ni magari ya polisi na yale ya magereza yakiwa yametokea katika gereza la Kisonga kuelekea Mahakamani yakiwa na Askari waliobeba SILAHA NZITO NZITO na Basi kubwa la Wafungwa likiongozwa na ving'ora vya Polisi kupeleka wafungwa mahakamani kiasi kwamba ya kuzuia njia magari mengine yasipite utafikiri labda ni Msafara wa RAIS au W/Mkuu kumbe wafungwa.

Naomba kujua juu ya ulinzi mkali uliokuwepo pale mahakamani na barabarani siku ya leo, juu ya hawa wafungwa? Ni mahabusu wanaokabliwa na kesi gani kubwa hapa mkoani ARUSHA?

Mliopo ARUSHA TUNAOMBA MTUJUZE TAFADHALI...!
Nawasilisha
 
Kawaida mbona huenda kulikuwa na watuhumiwa sugu wa mauaji au ugaidi huwa wanalindwa kama pesa mbele deffender nyuma deffender maaskari wako kamili kwa lolote lile ingekuwa wanaimarisha ulinzi namna hiyo kwa majangiri maharamia wavuvi haram wezi wa madini tungekuwa vizuri sana
 
[Hao kesi zao inaonekana ni kubwa sana.... Hapa Pakistani....
pakistani-police-convoy-escort-judges-car-as-they-arrive-for-the-of-picture-id108815531


pakistani-police-escort-a-prison-van-carrying-us-muslim-militant-as-picture-id97354534


pakistani-police-convoy-escort-judges-car-as-they-arrive-for-the-of-picture-id108815531
 
ni wale wafungwa wa ugaidi huwa wanaletwa kwa mtindo huo

ASANTE KWA KUNIJUZA...NIPE MATUKIO YA UGAIDI YALIYOWAHI KUFANYIKA ARUSHA...ACHILIA MBALI BOMU LA KANISA LA RC - OLASITI?.......
 
Greetings!
Katika pilika pilika zangu za maisha, nimejikuta nipo mkoani Arusha hapa Arusha Mjini. Nilichokiona leo katika hii barabara ya uhuru muda wa asubuhi ni magari ya polisi na yale ya magereza yakiwa yametokea katika gereza la Kisonga kuelekea Mahakamani yakiwa na Askari waliobeba SILAHA NZITO NZITO na Basi kubwa la Wafungwa likiongozwa na ving'ora vya Polisi kupeleka wafungwa mahakamani kiasi kwamba ya kuzuia njia magari mengine yasipite utafikiri labda ni Msafara wa RAIS au W/Mkuu kumbe wafungwa.

Naomba kujua juu ya ulinzi mkali uliokuwepo pale mahakamani na barabarani siku ya leo, juu ya hawa wafungwa? Ni mahabusu wanaokabliwa na kesi gani kubwa hapa mkoani ARUSHA?

Mliopo ARUSHA TUNAOMBA MTUJUZE TAFADHALI...!
Nawasilisha
Halafu kwakupenda sifa kwa mambo ya namna hiyo wako juu ulinzi wa wananchi na mali zao upo ziro
 
Back
Top Bottom