Kyara Atufigwe
Senior Member
- Mar 29, 2015
- 120
- 68
Wakulima tunalamba asali wafanyakazi mtajibeba.Habari wana jamvi,
Ni muda sasa umepita tangu Wizara ya Kilimo kupitia kwa Mhe Waziri Bashe kutangaza bei mpya ya mbolea nchini.
Tuliambiwa kuwa Bei hizo elekezi zitaanza kutumika kuanzia August 15. Binafsi nmefurahia sana hatua hii na natamani tufanikiwe kwenye hili.
Wadau tupeane mrejesho, nini kinaendelea mikoani kuhusu zoezi hili na changamoto zinazojitokeza.
HapA ndipo tunapofelikauli nyingi za viongozi wetu ni za kisiasa hazina tija.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wakulima tunalamba asali wafanyakazi mtajibeba.
Kinachoendelea kwenye maeneo baadhi ni vigezo ambavxo waziri hakuvisema.Watu wanaambiwa wawe na laini za voda,wapigwe picha.Tunamuomba mh waziri atowe tamko sasa.Habari wana jamvi,
Ni muda sasa umepita tangu Wizara ya Kilimo kupitia kwa Mhe Waziri Bashe kutangaza bei mpya ya mbolea nchini.
Tuliambiwa kuwa Bei hizo elekezi zitaanza kutumika kuanzia August 15. Binafsi nmefurahia sana hatua hii na natamani tufanikiwe kwenye hili.
Wadau tupeane mrejesho, nini kinaendelea mikoani kuhusu zoezi hili na changamoto zinazojitokeza.
Ni jambo jema. Ni vema baada ya hatua hii Wizara iharakishe mchakato ili kuuwahi msimu wa kilimoWanasajili wakulima, Ili kuingia kwenye mpango wa ruzuku,
Mimi mwenyewe nimejiandikisha.
Kwa kawaida utaratibu huu uanzia kwenye ofisi ya mtendaji, serikali ya mtaaa
haswaaa.Ni jambo jema. Ni vema baada ya hatua hii Wizara iharakishe mchakato ili kuuwahi msimu wa kilimo