Nini kinaendelea kwa Muna love?

But how??? Unajua nashangaa yani kidole kibadilike ghafla tuu kisa,plasta...
Namuhurumia yule mtt anavyolia nyiee
 
Hata kama ana maagano yamkini anatamani kutoka na inamchanganya sana,Mungu akufanyie wepesi dada.
 
Umeongea kama watu 100 Lakin n mtu mmoja umeongea congratulations my best
 
Na wewe kwanini umeleta huku? Si ungemwambia hukohuko Instagram. Sasa unakataa nini, unafanya nini?
Huku ni jukwaa la celebrities, umbea, ukweli, vioja, soga zooote zinaruhusiwa......kuna shida?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…