Nini kinaendelea kwa Muna love?

Akafe mbele kigagula huyu
Si ndio yule alisema mtoto kauliwa na bodaboda sijui huko Dom?
 
Mtoto alikua wa casto na amefanana na casto sana hii kitu casto alinyamaza kimya hakusema lolote..ila hapana wanawake mna mambo yanatisha sana
Kwani aliolewa na nani?
Huyo casto alikua nani kwake?
 
Huyo Muna ni changudoa au, na background yake ikoje.....tuanzie hapa kwanza maana hawa watu wanakuwaga na vitu vingi sana nyuma ya pazia.
 
Kwa kumtizama kwa jicho la rohoni inaonekana ana mambo mengi ya giza mpenda ushirikina mjivuni anajua kujibanza kwenye wokovu lkn hawa ndo waliuza nafsi zao kwa lucifer
 
Huo mtandao wa kafara siku hizi unaweza ukaunganishwa bila hata kujua aidha na ndugu, mpenzi au marafiki wa karibu,,,,,mtu wa pembeni anatoa ila unaonekana wewe ndo umefanya hivyo
 
Huo mtandao wa kafara siku hizi unaweza ukaunganishwa bila hata kujua aidha na ndugu, mpenzi au marafiki wa karibu,,,,,mtu wa pembeni anatoa ila unaonekana wewe ndo umefanya hivyo
Nami nimehisi hivi
 
Yule mtoto Patrick aliyefariki alikuwa anakandikwa mapiko na mablack kwenye nywele hata miaka 5 sidhani kama alikuwa kafika.. mixer ma make ups na mapicha picha mengi mtandaoni.. hivi hayo makemikali hayana madhara kweli kwa watoto?
 
Hapa umesema maana ujasiri wa Muna sio bure una kichaa ndani yake
 
Na wewe kwanini umeleta huku? Si ungemwambia hukohuko Instagram. Sasa unakataa nini, unafanya nini?
 
Huyu jamani si alifanya tummy tuck kidonda kikagoma kupona.Akaomboleza Mungu akamrehemu? Amezaa lini tena jamani..Eeh Mungu mponye mtoto wa Muna.Nyie acheni mzaha mtoto anauma.
 
Mungu amponye,kuuguza ni kitu kingine,nadhani anakuwa sana na stress ya kumpoteza kama yule wa kwanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…