Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Mazingira ya hivyo hata kama story za kafara ni za uongo, mama mtu anafanya hadi zionekane kweli, afu baada ya msiba tu bata likaanza akaweka na takko la bandia 🙌Alafu mtoto alikuwa wa ndani ya ndoa maana yule baba alitoa hadi cheti cha ndoa mtoto alizaliwa ndani ya ndoa dah yule mtoto basi bana Apumzike tu kwa amani ila hata kama.....mama yake alikuwa na siri
Utaogopa sana nipe namba nikuambie private ni very scaring situation aiseeYesu anaambiwa "hii slide ya pili YESU" 🙄
Ndio nani huyo huko Dar es salaam?!Toka wiki iliyopita naona Mwanadada Munalove aliyekuwa mke wa Peter komu sijui makomu (anayemjua atanisahihisha) analeta maombi Instagram Mungu ampitishe kwenye kikombe anachokunywa saivi, anaomba sana Mungu amponye mtoto wake, kuna nini?
Je? Hivi kwa akili ya kawaida mtu anapitia magumu ya kuuguliwa mtoto maombi yake na Mungu anayapeleka social media au Mungu ana account kule? Au ni madrama kama yaleyale walimwengu walisema amemtoa mwanaye kafara na hii pia anataka kutufanya walimwengu tuamini anaomba Mungu yasitokee yaliyotokea kumbe master ni yeye mwenyewe (anakula tumbo lake?)
Wajuzi mkuje huku (aliwahi kuwa rafiki wa Wema sepetu, akawa mpenzi wake Castor Dickson yule mtangazaji wa kituo gani sijui, alifiwa mtoto msiba wa mtoto wake ukawa na drama nyiiingi kama movie vile, akaja akafanya surgery ya shape na sura akaweka hadi dimpoz moja ya shavu 😄
Evelyn Salt
Kasie
Mshangazi dot com
Mahondaw
Nitumie basi kwa pm kaka angu kipenziUtaogopa sana nipe namba nikuambie private ni very scaring situation aisee
Mtoto alikua ananyonya kidole
Akashauriwa amuweke plasta,akaweka baadae pakavilia maji pale kwa kidole akamtoa plasta,yule mtoto kile kidole akaanza kukinyonya Tena,ndo kimekua cheusi kimemletea madhara pia inasemekana kuna uwezekano wa kukatwa vidole yule mtoto Kwa kua vimekua vyeusi tii like vimeingia sumu
Tuambie basiMuna Love namjua tena tokea yule.mtoto wake w akwanza na huyu wajuzi
Mmhh mbona rahisi rahisi sana jamani.....
Haujambo, za siku
Sio rahisi dear ni mtihani umemkutaMmhh mbona rahisi rahisi sana jamani.....
Haujambo, za siku
Mie mzima kabisa.Sio rahisi dear ni mtihani umemkuta
Mungu ndo mbuzi wa hilo
Yawekezekana alikua ana ugonjwa toka zamani hvyo hyo ndo ikawa sabbabu ya yote hayo
Sijambo mhenga mzima lakini shogaa
Ndo kinamgharimu hukoo hata kama kweli ana shida watu wanamuona msanii tuMie mzima kabisa.
Sema muna ana drama kiasi kwamba yanayoendelea inakua kama maigizo tu.