Nini kinaendelea hapa

Labda wamevutiwa na refa! Wakaamua kutia neno
 
Lete sheria inayozuia viongozi kuongea/ kusalimiana na refa ????
 
Hii kwanza ilikuwa ni kabla au baada ya mechi?
 
Basi wanampongeza kwa kuchezesha mechi vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…