Nini Kinachoendelea IMF na World Bank?

Hivi mkuu huwa unakuwaga jf siku zote? Nondo kama hizi mbwa wa ccm huwa hawanusagi.
 
huwezi kujiendesha wakati hata sindano hutengenezi wala panadol,

kwa watoto wa jana hawa ndio walimtoa nyerere!! nyie endeleen kubishana nao ndio mtajua kushuka kwa thaman ya shilingi.
 
"Umasikini wa akili ni umasikini mbaya sana kuliko umasiki wowote ule" daima masikini wa kila kitu hata ukimwambia we ni masikini, atakuchukia wakati unamwambia ukweli na kuleta visingizio chungu nzima, endeleeni kujifariji mnasingiziwa
 
"matajiri wapo kwa kuwa kuna masikini, ukiwatoa masikini hakutakuwa na matajiri, "
 
Jamaa wamesahau kuwa hata Ile interchange ya ubungo na barabara ya mwendo kazi ni kwa mkopo was world Bank.Wanaccm baada ya kupata mwenyekiti mpya mr.wahapahapa akiri zimewaruka kabisa
 
World Bank na IMF wote wale wale tu... hawajawahi kua nia njema haswa kwa third world countries...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…