Nini kimetokea soko la hisa Dar leo? hisa karibia zote zashuka hadi kufikia thamani ya 0

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
wakuu hii imekuwaje hapa au ndio kama ile ya Wall Street crash iliyotokea huko USA kipindi cha Great Depression?
Dar stock ex.PNG
 
Nina wasiwasi na hali ya kiuchumi inayoendelea nchini, leo hii hisa karibia zote kwenye soko la hisa Dsm zimeshuka na kufikia 0, hali kama hii ilishatokea huko USA kwenye ktu kinachoitwa Wall Street Crash kipind cha Great Depression mwaka 1929 sasa sina uhakika kama na hii ndio ipo hivyo wataalamu hebu nifafanulieni
Dar stock ex.PNG
 
Nina wasiwasi na hali ya kiuchumi inayoendelea nchini, leo hii hisa karibia zote kwenye soko la hisa Dsm zimeshuka na kufikia 0, hali kama hii ilishatokea huko USA kwenye ktu kinachoitwa Wall Street Crash kipind cha Great Depression mwaka 1929 sasa sina uhakika kama na hii ndio ipo hivyo wataalamu hebu nifafanulieniView attachment 360641
Wengine ni mbumbu wa hivi vitu, tufafanulie kidogo
 
Back
Top Bottom