Nini kimetokea kwa hawa wachezaji watatu?

Nini kimetokea kwa hawa wachezaji watatu?

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,251
Reaction score
4,539
FB_IMG_1693434509163.jpg


Nimeona wanatrend sana ni nini haswa kinaendelea? 😂😂😂

Kuna mmoja hapo alipiga hatrick timu ina wachezaji wanne 😂
 
Feisali atawatoa mimba mashabiki wa timu fulani.Kashauzwa huyo.
 
Back
Top Bottom