Kwa tafsiri isiyo rasmi ( Kwa uelewa wangu).Tech hubs ndo nini?
Tuelimishe zaidi kama inawezekana. Kwani BUNI pale mmiliki ni nani, ni taasisi ya serikali, inajitegemea au kuna wafadhili ?Kwa tafsiri isiyo rasmi ( Kwa uelewa wangu).
Tech hubs ni eneo/mji/ ofisi au kijiji kinachokusanya wataalamu/wanafunzi/wakufunzi/wafanyakazi mbalimbali kwa ajili ya kuwasaidia kukuza uwezo wao wa technolojia mbalimbali ili kufikia mafanikio ya juu kwenye gunduzi mbalimbali. Mfano mfikie uwezo wa FB n.k.
Asante na karibu.
Mimi kama mmoja wa wahanga wa hii kitu!Nimesoma hii ripoti kuwa Tech Hub zinakua kwa kasi sana Africa, Nigeria kuna hubs 55, Kenya 30 na hata Zimbabwe ina hubs 13.
Lakini cha kushangaza ni kwamba Tanzania inaonekana hazijashika moto kabisa na hata baadhi ya zilizokuwepo miaka 2-3 nyuma zimepotea (Kinu Hub), nadhani kuna Buni HUB kwa sasa.
Tatizo ni nini?
View attachment 734016
Link: Africa’s newest startup hubs are expanding beyond its legacy tech markets
Kitaaluma mimi sio mtaalam wa IT, ila kwa upeo wangu naona kuna tatizo kwa it wa bongo!Nimesoma hii ripoti kuwa Tech Hub zinakua kwa kasi sana Africa, Nigeria kuna hubs 55, Kenya 30 na hata Zimbabwe ina hubs 13.
Lakini cha kushangaza ni kwamba Tanzania inaonekana hazijashika moto kabisa na hata baadhi ya zilizokuwepo miaka 2-3 nyuma zimepotea (Kinu Hub), nadhani kuna Buni HUB kwa sasa.
Tatizo ni nini?
View attachment 734016
Link: Africa’s newest startup hubs are expanding beyond its legacy tech markets
Sisi tupo tunashindana udsm na mzumbe kipi chuo bora...Dah! nikweli Kenya wapo mbele, na kama sijakosea pia Rwanda watakua wapo katika nafasi nzuri dhidi yetu maana nilikuwa nikiona taarifa kadhaa BBC juu ya hizi hub katika nchi hizo.
ukweli usiofichika huuUkweli ni kua nobody cares, tusilaumu serikali maana hata tech companies za bongo pia hazijali, nimekaa nje karibia kila top company ina incubation centres za startups. Bongo the government doesnt care, big companies dont care. Ni kama hawaoni umuhimu wa technology. Wote wameridhika na nafasi waliyo nayo, they dont want to expand.