Huo ndio ukweli wenyewe!. CCM ndicho chama pekee kitakacho ulinda muungano!. Asili ya CCM ni kama asili ya Muungano, muungano wa TANU na ASP. Wale CCM wanaopinga muungano kule Zanzibar, sio CCM kweli, wale ni CCM kadi na sare tuu ila ndani yao bado ni ASP!. Wale wengine wote ambao ni CUF, wale ni ZPP, ZNP na Hizbu, wao ni wahanga wa mapinduzi, kwa vile muungano ndio umeyalinda mapinduzi daima, hawawezi kupenda aslan!.Katika hali isiyo ya kawaida mchambuzi mashuhuri wa siasa bwana RENATUS MKINGA amekuja kwenye kipindi cha marumbano ya hoja kinachoendeshwa na kituo cha TV cha ITV akiwa amevalia nguo ya CCM. Kitendo cha kuvaa nguo hiyo wakati yeye anafahamu kwa undani madhambi yaliyotendwa na chama hicho kama alivyokuwa akiainisha kipindi cha nyuma kimeniogopesha mimi binafsi. Moja kati ya dhambi kubwa ni kuunga mkono jambo fulani wakati ukijua kuwa ni jambo la hatari.
Eti anasema chama pekee kinachounga mkono muungano ni CCM wakati kwa sasa Wazanzibari wanataka kujitenga wakiwa chini ya utawala wa CCM tangu muungano. Mkinga anafikiri kuunga mkono muungano ni maneno tu, kwanini CCM hawajatatua kero za muungano wakati wao muda wote ndiyo watawala, na wana uwezo wa kufanya hivyo?.
Mkinga ambaye jamii masikini ilimuheshimu sasa anaanza kupotea, kitendo cha kuvaa nguo ya CCM ni dalili za kufa kiakiri. Shujaa ufa akisema ukweli, mkinga umeanza kupotea na ndiyo maana mwendesha mada bwana DEOGRATIUS RWEYUNGA alikuponda hapohapo kuwa jadili maswala ya kauli ya nyerere kuhusu muungano na siyo jezi ya CCM
Huo ndio ukweli wenyewe!. CCM ndicho chama pekee kitakacho ulinda muungano!. Asili ya CCM ni kama asili ya Muungano, muungano wa TANU na ASP. Wale CCM wanaopinga muungano kule Zanzibar, sio CCM kweli, wale ni CCM kadi na sare tuu ila ndani yao bado ni ASP!. Wale wengine wote ambao ni CUF, wale ni ZPP, ZNP na Hizbu, wao ni wahanga wa mapinduzi, kwa vile muungano ndio umeyalinda mapinduzi daima, hawawezi kupenda aslan!.
Tuna tatizo kubwa humu jukwaani, mtu akiwa CCM, kila kitu asemacho mnakiona kama sicho!, alichosema Mkinga ndio ukweli wenyewe!. Kwa vile mpaka sasa hatujajua katiba mpya itasemaje kuhusu asilimia ya kura za Zanzibar, ili chama chochote kiweze kushinda urais wa JMT!. CCM na CUF wana uhakika wa kura za Zanzibar, Chadema haina uhakika wowote wa kura za Zanzibar, katiba mpya itatamka wazi kuwa ili chama chochote kitangazwe mshindi wa urais wa Muungano, lazima kishinde kwa theluthi moja ya kura za pande zote za muungano!. Wengine wanakalia maandamano huku siku zinakwenda!, wakiambiwa hawajipanga wanakuwa mbogo!, sasa wewe unaambiwa CCM ndicho chama pekee kinachotetea muungano, unashangaa nini?!, mkiambiwa 2015 ni CCM tena!, mapovu yanawatoka!.
P.

Kuna watu wanaamini katiba mpya imekuja tuu kama "manna"!. CCM ndio waliokuwa hawataki kabisa kuisikia katiba mpya!, mara all over a sudden change of heart sasa serikali ya CCM imekubali katiba mpya kwa moyo mkunjufu!Kama kutakuwa na kipengele kama hiki, basi katiba hiyo itakuwa imetengeneza mazingira ushindi kwa CCM
Hoja ya Pasco haina mashikoHoja ya Pasco ina mashiko..
Pasco,Huo ndio ukweli wenyewe!. CCM ndicho chama pekee kitakacho ulinda muungano!. Asili ya CCM ni kama asili ya Muungano, muungano wa TANU na ASP. Wale CCM wanaopinga muungano kule Zanzibar, sio CCM kweli, wale ni CCM kadi na sare tuu ila ndani yao bado ni ASP!. Wale wengine wote ambao ni CUF, wale ni ZPP, ZNP na Hizbu, wao ni wahanga wa mapinduzi, kwa vile muungano ndio umeyalinda mapinduzi daima, hawawezi kupenda aslan!.