Nini kimemsibu mh. Livingstone Lusinde?

THINKINGBEING

JF-Expert Member
Aug 9, 2010
2,779
1,304
Wakati wa kampeni za ubunge jimbo la Arumeru zilizompatia Joshua Nassari ushindi wananchi walishuhudia vituko vingi sana.Moja ya vituko vikubwa vilifanywa na mbunge wa Mtera mh.Livingstone Lusinde.Akiwa anamkejeli mh.Mbowe kwa kauli yake kwamba “ana uchungu mkubwa na nchi hii” Lusinde alisema “mtu yoyote anayesema ana uchungu mjue ana mimba”akaendelea kusema mtawaona wengi tu ambao tumewatia mimba wakiwa wanatema mate hovyo.
Leo mh.Lusinde ametamka maneno yaleyale aliyosema yanatamkwa na mjamzito tu.Lusinde amesema “ana uchungu sana na swala la UDA’’.Ni nani kampa ujauzito mbunge huyu machachari?
 
Mmh... ngoja tuwasubiri wataalamu wa lugha ya kiswahili waje watudavudie lugha.

Nilivyoelewa mimi ni kuwa Lusinde kusema ana uchungu na UDA, alikuwa na maana ya kuhisi kuumia moyoni kuona jinsi shirika hilo la Umma la usafirishaji abiria jijini Dar, jinsi llivyofanyiwa ufisadi wa kutisha kwa kuuzwa kwa bei ya 'chee' na siyo kuwa mbunge Lusinde kwa kusema kuwa anajisikia uchungu alikuwa anamaanisha kuwa anataka kujifungua!!
 
yule ana homa za vipindi inabidi mumzoee tu na leo kamuunga mkono msigwa point zake kwa mara ya pili.

hata kama anaongeaga ujinga ila mimi napenda wabunge active bungeni sio kulala tu kama jimbo halina mbunge.
 
Mmh... ngoja tuwasubiri wataalamu wa lugha ya kiswahili waje watudavudie lugha.

Nilivyoelewa mimi ni kuwa Lusinde kusema ana uchungu na UDA, alikuwa na maana ya kuhisi kuumia moyoni kuona jinsi shirika hilo la Umma la usafirishaji abiria jijini Dar, jinsi llivyofanyiwa ufisadi wa kutisha kwa kuuzwa kwa bei ya 'chee' na siyo kuwa mbunge Lusinde kwa kusema kuwa anajisikia uchungu alikuwa anamaanisha kuwa anataka kujifungua!!
Msome tena mleta mada.
 
Wakati wa kampeni za ubunge jimbo la Arumeru zilizompatia Joshua Nassari ushindi wananchi walishuhudia vituko vingi sana.Moja ya vituko vikubwa vilifanywa na mbunge wa Mtera mh.Livingstone Lusinde.Akiwa anamkejeli mh.Mbowe kwa kauli yake kwamba "ana uchungu mkubwa na nchi hii" Lusinde alisema "mtu yoyote anayesema ana uchungu mjue ana mimba"akaendelea kusema mtawaona wengi tu ambao tumewatia mimba wakiwa wanatema mate hovyo.
Leo mh.Lusinde ametamka maneno yaleyale aliyosema yanatamkwa na mjamzito tu.Lusinde amesema "ana uchungu sana na swala la UDA''.Ni nani kampa ujauzito mbunge huyu machachari?

Kinachomsumbua ni ukosefu wa adabu kwa wanawe, busara mbele ya waungwana na heshima kwa jamii. Vinginevyo yale aliyokuwa anayasema ni matusi na kejeli kwa wanawake wote, akiwemo mama yake na mkewe. Yale hayakuwa maneno ya kuyaongea hadharani kwa mtu mwenye heshima zake.

Alichokifanya leo ni kawaida yao tu. Kwamba ni wapuuzi mpaka hawakumbuki walifanya nini lini na wapi. Kwa hiyo huna haja hata ya kushangaa. Ni wapuuzi wa kawaida tu. Na kujidai wanaumia na lolote ni unafiki ulikopitiliza kwani kuna mengine kibao ya aina hiyo na mengine wanayashabikia.
 
Alimezeshwa cassette mara alipozaliwa sasa ndio muda wa kutema kila kilichojirekodi, Kama yatakuwa matusi, kashfa au chochote atakachokisikia mtaani kinajirekodi na kutema popote, iwe ni bungeni, chumbani, chooni, kanisani au jukwaani, Ni kutema tu.
 
Ingia utube tafuta mkutano wa ccm kujibu ukawa zanzibar..utaona uwezo mdogo sana wa kuchambua mambo wa lusinde na nape..inashangaza sana
 
Pia alishakanusha kupitia TBC1 kuwa Dr aliwapamimba wanakwaya, eti ni siasa tu.
 
Mmh... ngoja tuwasubiri wataalamu wa lugha ya kiswahili waje watudavudie lugha.

Nilivyoelewa mimi ni kuwa Lusinde kusema ana uchungu na UDA, alikuwa na maana ya kuhisi kuumia moyoni kuona jinsi shirika hilo la Umma la usafirishaji abiria jijini Dar, jinsi llivyofanyiwa ufisadi wa kutisha kwa kuuzwa kwa bei ya 'chee' na siyo kuwa mbunge Lusinde kwa kusema kuwa anajisikia uchungu alikuwa anamaanisha kuwa anataka kujifungua!!
Hujaelewa msingi wa hoja huyo lusinde alikuwa ameshamkosoa mbowe matumizi ya neno uchungu
 
Wakati wa kampeni za ubunge jimbo la Arumeru zilizompatia Joshua Nassari ushindi wananchi walishuhudia vituko vingi sana.Moja ya vituko vikubwa vilifanywa na mbunge wa Mtera mh.Livingstone Lusinde.Akiwa anamkejeli mh.Mbowe kwa kauli yake kwamba "ana uchungu mkubwa na nchi hii" Lusinde alisema "mtu yoyote anayesema ana uchungu mjue ana mimba"akaendelea kusema mtawaona wengi tu ambao tumewatia mimba wakiwa wanatema mate hovyo.
Leo mh.Lusinde ametamka maneno yaleyale aliyosema yanatamkwa na mjamzito tu.Lusinde amesema "ana uchungu sana na swala la UDA''.Ni nani kampa ujauzito mbunge huyu machachari?

What goes around comes around !!!!!
 
Mmh... ngoja tuwasubiri wataalamu wa lugha ya kiswahili waje watudavudie lugha.

Nilivyoelewa mimi ni kuwa Lusinde kusema ana uchungu na UDA, alikuwa na maana ya kuhisi kuumia moyoni kuona jinsi shirika hilo la Umma la usafirishaji abiria jijini Dar, jinsi llivyofanyiwa ufisadi wa kutisha kwa kuuzwa kwa bei ya 'chee' na siyo kuwa mbunge Lusinde kwa kusema kuwa anajisikia uchungu alikuwa anamaanisha kuwa anataka kujifungua!!
Lusinde kuwa na uchungu ni kuhisi kuumia kwa ufisadi inaofanyiwa nchi hii, ila mh Mbowe akiona uchungu lusinde anaonakama mh mbowe anataka jifungua,lusinde anamatatizo hata kumjadili tunampa kitu asichostahili.
 
Nasikia ile ndoo ya jenista kule bungeni majuzi ilikuwa maalum kwa lucynde anatema mate sana mimba ya msomali kinyanya inamsumbua anatarajia kujifungua mapacha
 
"Mh spika tusiwe na akili kama wachunga ng'ombe badala ya kumpiga ng'ombe wa mbele ambaye hasongi mbele anazuia wengine wao wanapiga ng'0mbe wa nyuma".
 
Mmh... ngoja tuwasubiri wataalamu wa lugha ya kiswahili waje watudavudie lugha.

Nilivyoelewa mimi ni kuwa Lusinde kusema ana uchungu na UDA, alikuwa na maana ya kuhisi kuumia moyoni kuona jinsi shirika hilo la Umma la usafirishaji abiria jijini Dar, jinsi llivyofanyiwa ufisadi wa kutisha kwa kuuzwa kwa bei ya 'chee' na siyo kuwa mbunge Lusinde kwa kusema kuwa anajisikia uchungu alikuwa anamaanisha kuwa anataka kujifungua!!
Mkuu hujaelewa. Hebu rudi kwenye thread
 
Back
Top Bottom