Nini kimemsibu mh. Livingstone Lusinde?

Mmh... ngoja tuwasubiri wataalamu wa lugha ya kiswahili waje watudavudie lugha.

Nilivyoelewa mimi ni kuwa Lusinde kusema ana uchungu na UDA, alikuwa na maana ya kuhisi kuumia moyoni kuona jinsi shirika hilo la Umma la usafirishaji abiria jijini Dar, jinsi llivyofanyiwa ufisadi wa kutisha kwa kuuzwa kwa bei ya 'chee' na siyo kuwa mbunge Lusinde kwa kusema kuwa anajisikia uchungu alikuwa anamaanisha kuwa anataka kujifungua!!

Akili unayo, lakini hauelewi na haujui namna ya kutumia akili yako. Soma mara tatu zaidi maudhui ya mtoa mada, au vinginevyo, wewe utakuwa unayo matatizo makubwa ya kuelewa mambo.
 
Back
Top Bottom