Nini kimemsibu Anne Kilango?

Mama alishapoteza umaarufu kwa kukubali kurubuniwa,hakika watanzania tulimpend sana lkn wajanja wachache wakampenda zaidi
 
Huyu mama alijipambanua kama mpambanaji dhidi ya ufisadi na kujizolea tuzo ya mwanamke jasiri zaidi lakini kwa mshangao wa wengi wapiga kura wamemzuia kuingia bungeni nini sababu za kuanguka kwake?

sababu za kuanguka kwake anazijua @le kubwaz
yuko humu humu ndani.
 
Last edited by a moderator:
OK;Nikiwa kama mwenyeji wa jimbo la same mashariki kosa kubwa ambalo amelifanya ni kutotekeleza Mradi wa kiwanda cha kusindikia Tangawizi na ahadi nyingi ambazo ameshindwa kutekeleza sasa wameamua wampeleke Bungeni Naghenjwa
 
MAKOSA YAKE
1.Kushindwa kukamisha kiwanda cha kusindika Tangawizi

2.Huduma na miundombinu mibovu hakuna alichotekeleza madaraja,barabara mbovu kuliko mfano. Na makosa mengine ya kujisahau km vile yy ndio yy hakuna mwingine
 

Huu.....ni....ukweli....mtupu....usio .....tiliwa shaka....Kule ndio home,hawataki hata kumsikia chaguo la ndugu zangu ni KABOYOKA NAGHENJWA MB.SAME MASHARIKI
 
mwanae alikua busy kupiga kampeni kwenye kiblog uchwara chake......mosha n mama yke wote chali chezea kampeni za ukawa,lemutuz yuko anamliwaza mosha mana ndio kazi yke
 

Hivi hadhi ya kinyesi chooni ni sawa na kinyesi hicho hicho shambani?
 
Huyu mama alijipambanua kama mpambanaji dhidi ya ufisadi na kujizolea tuzo ya mwanamke jasiri zaidi lakini kwa mshangao wa wengi wapiga kura wamemzuia kuingia bungeni nini sababu za kuanguka kwake?

Wote waliomchongea lowassa mafuriko... Kaanza Kilango, Kaja Sendeka na Mahakamani tunamalizia na Mwakyembe.
 
alishindwa kuiba vijana walikuwa macho usiku kucha kama Iringa Mjini, Ukawa waliokubali kulala na kuhesabu kura kwa mara ya pili wote walianguka, chezea Misisiem, inataka ujasiri wa kukesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…