Wapare hawapendi dharau kabisa hata uwajengee kila mtu gotofa ila ukishawadharau basi kwisha,
Daniele Yona aliwakuta wananchi wapo kwenye msaragambo akawapita bila kuwasalimia . Muulizeni kilichomkuta
huyu mama alijipambanua kama mpambanaji dhidi ya ufisadi na kujizolea tuzo ya mwanamke jasiri zaidi lakini kwa mshangao wa wengi wapiga kura wamemzuia kuingia bungeni nini sababu za kuanguka kwake?
Huyu mama alijipambanua kama mpambanaji dhidi ya ufisadi na kujizolea tuzo ya mwanamke jasiri zaidi lakini kwa mshangao wa wengi wapiga kura wamemzuia kuingia bungeni nini sababu za kuanguka kwake?
Aibu sana hii...mtu wanayemchukia na kumbeza akiwa ccm sasa wamvhague mtu huyo huyo akiwa chadema?
Bonge la aibu.
Ndo hayo hayo yamekosesha watu urais na uspika.
Yule mama, watu walikuwa wanamlia timimg tu! Huwezi kuolewa Dodoma, unaishi na Mume wako huko, halafu uwakilishe wananchi wa Same (wapare), ambao ulishawaka kwa kuolewa na mgogo! Never .... ndio maana tumemkata!