Kwa kweli mimi Zitto simwamini kabisa kukabidhiwa majukumu yeyote ya chama, huwa sina imani hata kama anampigia kampeni mgombea wa CDM.Muangalieni vizuri na kwa karibu bibi Kiroboto, siku hizi ana unholy alliance na Zitto!!
Magari zaidi ya 10 X how many litres of petrol=KODI ZETU.
CDM jana ilishindwa kuwahudhurisha wabunge wake wapya kuapa bungeni kukwepa aibu ya kutopata coverege ya media kwani vyombo vyote vilikuwa na Kanumba....Sasa inashangaza kuwa walikuwa tayari kukiuka kanuni za Bunge kisa wantafuta muda wa kupata coverege....shame!! Hata hivyo hongera kwa Zitto walau kidogo kwa kuamua kuomba radhi kwa tukio hilo......

Wewe huelewi kinachoendelea ndiyo maana unalopoka tu,waliomba waapishwe leo kwasasa babu wabunge hawakuwa namawasiliano.Pia leo hii nipo hapa DODOMA viwanja vya BARAFU ambapo viongozi wote wa kitaifa wa CHADEMA pamoja na wabunge wote watahutubia wananchi wa dodoma na watanzania woteCDM jana ilishindwa kuwahudhurisha wabunge wake wapya kuapa bungeni kukwepa aibu ya kutopata coverege ya media kwani vyombo vyote vilikuwa na Kanumba....Sasa inashangaza kuwa walikuwa tayari kukiuka kanuni za Bunge kisa wantafuta muda wa kupata coverege....shame!! Hata hivyo hongera kwa Zitto walau kidogo kwa kuamua kuomba radhi kwa tukio hilo......