Nini kimemkuta dada huyu

Nini kimemkuta dada huyu

Je, hakulipa nauli ya boda ? HATA kama hakulipa mbona YEYE NDO mkali kumpiga jiwe boda shida nini. Mpaka wameanza gombana

Dah mwanetu nguo nyekundu amepigwa vibao viwili chap akili ikamrudi ikabidi akaendelee na mbishe zake chap hana muda wa kupoteza kwenye ugomvi wa wenyewe
 
Unaunga mkono kupiga wanawake? Ningekuwa hapo ningemzuia huyo jamaa kumpiga huyo dada.
Mwanamke akileta ujinga lazima apigwe tu ili akili zimkae Sawa.
Hawa viumbe ukiwaendekeza watakuabisha kwa wanaume wenzako.

I'll never entertain a woman's nonsense in any way whatsoever!
 
Back
Top Bottom