Nadhani Zitto yuko njiani kurudi Chadema
Dah... Bora arudi 2020 agombee urais....Nadhani Zitto yuko njiani kurudi Chadema
Zito ni mtu makini sana hawez kusubiri upepo upite hivi ...kuna jambo au basi anaogopa kuzingirwa kama yuke arushaUkimya upo kwa viongozi wengi wa upinzani mimi nadhani wametuachia wananchi tuaone wenyewe na tuone umuhimu wao kwa vile tumekuwa tukiwalaumu hasa wale wa chama tawala. Sasa naamini umuhimu wao unaonekana.
Acha roho mbaya mkuuDah... Bora arudi 2020 agombee urais....
Aende kwa mafisadi papa kufanya nini. Mwacheni kijana apambane na siasa za chama chake. Naona chama kinayumba.Nadhani Zitto yuko njiani kurudi Chadema
sidhaniNadhani Zitto yuko njiani kurudi Chadema