Nini kimejificha katika hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kimejificha katika hili?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Feb 6, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kesi ya uchaguzi katika jimbo la Kawe imefutwa huku Katibu Mkuu wa CHADEMA WILBROUD SLAA akisema haikuwa na maslahi kwa pande zote mbili yaani CHADEMA na NCCR. Je ni kweli haikuwa na tija au kuna mazingambwe yamechezwa na CDMA? Kwa nini CDMA ndiyo wakimbilie kuliongelea hilo kwenye vyombo vya habari badala ya wadai ambao ni NCCR?
   
Loading...