Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,524
Back in the days, wakati najiunga JF kwa kufuata mkumbo; nilikuwa namtukana raisi wa muda huo JK.
Being me, sikosi haters; kulikuwa na mods wana re-type posts zangu nionekane siwezi hata kuandika.
Lakini uwezi zuia uwezo, na vichwa vya CCM vilkuwa vinapita humu; vinaona uwezo.
Na pengine wahusika wakatuuza; it doesn’t matter.
Nilicho onywa na wenye mamlaka, tukosoe Jalu inauma; lakini usitutukane viongozi. Na hao watu baadae baadhi yao nimekutana nao ana kwa ana.
Sasa najiuliza watu wale, walinzi wa chama waliokuwa na patient ya kutoa onyo kwa vijana wapo wapi leo.
Kale ka _Niffer kweli ni kakukipa kesi ya uhaini, miaka yake yeye sisi tulikuwa tunaonywa.
Matusi yangu ya leo ni mtu mzima najua risk ninazochukua.
But what happened na ile serikali ya malezi iliyoturekebisha sisi namna ya kuikosoa serikali tuwe vijana wema.
Kale ka Niffer kweli ni kaahini kama kangekuwa katoto kako au kamefanya makosa.
Let’s not make a mistake Niffer ningeweza kumzaa, so is Mangę ni age ya mtoto wake wa kwanza.
Don’t punish that little girl, have mercy; ni katoto kapuuzi tu ambako kanastahili onyo kwanza.
What happened ni ile serikali iliyokuwa inatuonya kwanza usiende huko.
Miaka yetu kwa umri wake, wahusika walikuwa wanatuonya kwanza; usiende huko.Ka Mange kalianza hivyohivyo. Wacha wakifinye mapema kajifunze kudeal na biashara yake badala ya kuwa mwanaharakati.
Kumuita Niffer katoto kapuuzi ni tusi.ni katoto kapuuzi tu ambako kanastahili onyo kwanza.
Kama umesoma mada yangu, sisi tulikuwa tunaonywa kwanza tukivuka mipaka mara ya kwanza; katika umri wetu.Kumuita Niffer katoto kapuuzi ni tusi.
Kama kutukana ni kosa, basi isiwe kwa viongozi tu.
Huna busara yeyote ya kutoa lecture hapa kuhusu matusi.
Mange ni beyond niffer, hakuanza kamq niffer, mange ana different path labda kama umemjia juziKa Mange kalianza hivyohivyo. Wacha wakifinye mapema kajifunze kudeal na biashara yake badala ya kuwa mwanaharakati.
Kwa hiyo kuwa mwanaharakati(activist) ni uhaini kwa sheria za TZ?Ka Mange kalianza hivyohivyo. Wacha wakifinye mapema kajifunze kudeal na biashara yake badala ya kuwa mwanaharakati.
Na bado mnamtafuta MELO pia obviously mkimpata naye mtampa kesi ya uhaini lakini upo hapa unafurahia platform iliyo huru kutoa maoni.Ka Mange kalianza hivyohivyo. Wacha wakifinye mapema kajifunze kudeal na biashara yake badala ya kuwa mwanaharakati.
Wanasema kacheza mziki wa Nywinywinywi hivyo huo ni uhaini.Yule dogo kamtukana nani? Mnaweza kutuwekea hapa matusi aliyotukana achen usengerema nyie maccm mnasema niffer katukana haya sawa hamsemi ni matusi gani..kum.amae zenu bora tuwe vitani tu kuliko amani ya ki.senge hii aman ili majiz na matakataka toka zanzibar kututawala na kujinufaisha.
Uongo.Mimi nimeanza ku-comment JF Nifffer akiwa anavya diapers.
Unatakiwa kumjua Niffer, ajaibuka tu out of the blue.Uongo.
Jamvi hili, lililoanzishwa 2006, halikuwepo wakati Niffer anavaa diapers. Niffer is way older than this jamvi. Hujatoa comments hapa wakati Niffer anavaa diapers.
Kwa hiyo unajiongelea tu mambo yasiyo na ukweli ili kujifurahisha tu. Hupaswi kuchukuliwa seriousIly.
Kama matusi ni mabaya basi iwe hivyo kwa kila raia, sio kwa viongozi tu. Hapaswi mtu yeyote kutukanwa. Acha kumbananga na kumtindigana Niffer. You can't tie her shoes.
Eti mara ya kwanza aonywe. Halafu mara ya pili iweje, apigwe mawe ? Logic zako mbovu.