Nini kimeikumba internet ya Smile?

Nini kimeikumba internet ya Smile?

Afri-Cast

Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
49
Reaction score
109
Wakuu leo siku ya 3 router za smile hazifanyi kazi kuna anaejua nini kimewapata? Naona hawajibu emails wala namba ya huduma
 
Hata hii December hapa Dar internet hakuna kabisa. Wanapokea malipo ila huduma haipo
 
Hata hii December hapa Dar internet hakuna kabisa. Wanapokea malipo ila huduma haipo
Hata airtel ni hivyo hivyo toka juzi usiku ilianza internet hakuna, ikaja sasa hata sms haziendi muda mwingi mtandao unakata kabisa inakuwa emergence call tu na hata ukirudi huwezi fanya lolote. Hapa wakisharekebisha haijalisha ulikuwa umejiunga kifurushi cha bei gani utaona wote mnapewa dakika mbili eti za bure. Hii mitandao sijui TCRA uwa wanafanya nini
 
Kuna Tetesi kuwa Wamefunga biashara! Kila nikiwapigia wanasema wanashughulikia, ukilipa bando wanakata pesa internet hakuna. Pity
 
Back
Top Bottom