Sidhani shida ni mchina.mzee mremi mbishi... wenzake wanacheza na wachina... yeye kaamua kufa na scania zake..
bei ya scania moja unanua mchina mbili au tatu... so lazima wakimbize tu... abood alileta ubishi ila kasanda nae kaamia mchina
akikomaa na scania na hasipobadilika... lazima afunge biashara
Bombardier zipo wapi wewe ??Bombadier zimeharibu soko lake
TAHMEED anawatàwal nji yaa kaskazini.Dar express ni brand kubwa sana kwenye tasnia ya usafirishaji Tanzania.
Ime-set standards nyingi kwenye usafirishaji hasa kwa kanda ya kaskazini ambao zimeigwa na mabasi mengine kwenda mikoa mingine.
Sasa hivi wana magari yamechakaa mno, hakuna maintainance. Pale highway pamechoka sana.
Nimekuwa naitumia hii kampuni kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Naamini kuna wadau ambao ni loyal customers wa hii kampuni bado wanaendelea kuitumia.
Najiuliza nini kimeikumba hii kampuni? Mfikishieni ujumbe mwenye kampuni, afanye juu chini hii kampuni isife kabisa.
Naamini kuna siku Dar express itarudi kwenye ubora tuliouzoea.
Mchina kuwa ni shida inakuja kwenye mtaji alionao,kwa mfano kama alikuwa anauwezo wa kununua scania 4 ambayo kila scania moja ni sawa na mchina tatu basi alikuwa anauwezo wakuagiza mchina 12 mpya na zingeingia kuvitamin biashara yake. Ni kweli dar express naona kama inapumulia mashine.,nakumbuka siku moja natoka nairobi nimeipanda marcopolo zile model mpya kilichonisikitisha zaidi kwenye mabasi yale wameweka chaja (usb ports) za kubumba mtaaini hii yote nikukuta soko limebadrika na na uwezo huna wakubadilika.Sidhani shida ni mchina.
Hata Kilimanjaro ana scania ila zinatunzwa vizuri kuliko za Dar express.
Ndoto nzuri huotwa usiku ila hizi za mchana unaweza jikuta umemtukana hata mzazi wako kwa nguvu..Kanda ya kaskazini wanaupungufu mkubwa magari...wameachwa mbali sana na kanda ya kati
Unaumwa weweKanda ya kaskazini wanaupungufu mkubwa magari...wameachwa mbali sana na kanda ya kati