Nini kimefanya bunge lipoteze mvuto?

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,553
Reaction score
17,029
Sikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea..

Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti.

Inashangaza sana.

Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo tena.
 
Sikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea..

Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti.

Inashangaza sana.

Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo tena.
Hakuna Mwananchi anafatilia wabunge ambao hawakuchagua.

Hata wajumbe wa CCM walipigwa chenga kwa kisingizio kwamba wanakula rushwa
 
Hunipi nafasi nikapumua kila thread unanifata, umefanya mpk nimefungiwa kuchangia ule uzi wa shangazi wa maporini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ss hivi nimeokoka nimehamia jukwaa la siasa umenifata πŸ˜‡
Kwani kati ya sisi watatu nani ajafungiwa ,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi nakusalimia tu lakini ahahahahah coca hajambo.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…