plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 1,381
- 1,414
Hi Guys!
Huu ni kama mwendelezo wa kuwachambua hawa Dinosaurs viumbe ambao waliwahi kuitawala dunia miaka mingi iliyopita.
Katika post iliyopita inayowahusu hawa viumbe nilieleza tabia zao na jinsi walivyoishi na kuitawala dunia. Hata Dragons hawakuweza kufua dafu kwao. Dunia ilikuwa kama mbingu kwao. Pia katika posti iliyopita kuwahusu hawa viumbe nilichanganya sayansi kidogo na maandiko ya Biblia kidogo yanazungumziaje.
Katika hii post ya leo sitagusia tena maandiko kwani niligusia awali. Leo nitagusia mabaki ya vitu vilivyokutwa duniani ndipo tukapata picha ya viumbe hao kuwa waliwahi kuwepo katika uso wa dunia.
Binadamu katika uso wa dunia hatuna miaka mingi, hatujafikisha miaka 7000. Ila ni ukweli usiopingika dunia ina miaka mingi zaidi ila tusilolijua mpaka leo ni kwamba kabla ya sisi nini kilikuwepo duniani.
Mabaki namba moja ambayo tumeyakuta duniani ni mifipa ya Dinosaurs na picha za Dinosaurs ziliwa zimejichora automatically kwenye miamba. Kwa mujibu wa Carbon 14, kifaa kinachokadiria umri wa mifupa kifaa hicho kilisoma ni miaka million 68 iliyopita, mifupa mingine ilisomeka iliexist miaka million 99 iliyopita. Hiyo ni kwa mujibu wa hicho kifaa.
Kitu kingine tulichokikuta ni a 15km Chicxulub asteroid. Hiki ni kimondo nacho kilisomeka kilitua miaka million 66 iliyopita.
Kwa mujibu wa wanasayansi. Mifupa 1500 ya Dinosaurs ilipatikana duniani. Hivyo inadhaniwa kimondo hicho walichokipa jina la Chicxulub kilipotua joto la dunia lilipanda mpaka 150°C na kila kuimbe kilichokuwa 800km karibu kiliangamia. Na waliosaliwa walikufa kwa njaa kwa sababu ya joto kupanda hakuna mimea iliyostawi.
Waliosalia walikula wenzao na mwishowe wakamalizika wote. Dunia ikabaki kama sayari zingine. Hadi pale Mungu alipoamua kuifanya upya tena na sisi tukaletwa duniani.
View attachment:
Sent using Jamii Forums mobile app