Una maanisha kujulikana kwa namna gani naposema "sababu historia ya mwanadamu inajulikana haijavuka miaka 7000"
Afu unasema dinosaur walikuwepo miaka bilion 68 iliyopita, na wakati ulimwengu una umri wa miaka bilion 14, sasa hao dinosaur walikuwa wakiishi wapi?