Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,694
- 3,982
daaaah... si kwa style hii dada yang... amekuwa na UWAZI sana mpaka sasa anapitiliza.... kuna mambo unatakiwa ubaki nayo tu moyoni....Si mnatakaga asiyeigiza maisha
Ndio huyo sasa anatiririka kila kitu
Anaongea mpaka anamaliza yote anarudi kwenye siri zake mwenyewe.kweli huyo muongeaji sanahata angekua mimi yangenishinda mapema tu.
hatari sana...ngekaa naye zaidi angekuja kusema tuapo mm nakupa hongera mkuu Kwa kumuacha uyo ungendelea kumchungza si ajabu ungegundua alikua anasagana au analiwa nyuma
Mwogope Mungu basi hujaoa weh acha uongoo ila kama hujaoa inabidi upitie kwa balozi wa mtaa, mwenyekiti, na mwisho mkuu wa mkoa waakuandikie barua inayodhibitisha kuwa upo single na hiyo barua uwekewe passportsize siamini upo single siningekupatia wa huko huko .Mimi hadi saizi sijapata ndio maana bado sijaoa mkuu, ebu namuomba huyo wako walau nami nivimbe hapa kwa shemeji ninapoishi..😊