Nini kilisababisha ajali ya Maunda Zoro?

Nini kilisababisha ajali ya Maunda Zoro?

Dada alitokea msibani saa 12 jioni kongowe..
Aka drive hadi kigamboni Norasko pub akaimba kidogo Karaoke..huenda hapa ndio tunahisi alipata maji kiasi tusichokijua ..kwenye saa 4.35 usiku hivi akaianza safari kurudi home huko Toangoma ....4.40 hivi aliligonga gari kubwa Hino kwa marehemu kuhama upande wake na kulifuata..yaonyesha alifariki kwa kupoteza damu nyingi maana alibanwa ikawa ngumu kuachanisha magari then kumchomoa yeye...hapo muda kiasi ulipotea..akafariki
R.I.P Helen Maunda Zorro.
 
Ugali unapikiwa nini? Alitoka kuuza na alikuwa bwax, kipindi hiki wauzaji wamerudi tena na bonge za tambo, waguse kinuke
Sukuma gang aka wazee wa legacy mtapata tabu sana this time
 
Ile njia ni nyembamba sana, JPM alivyowa waziri aligoma kuifungua na alihoji njia gani ipo kama mkojo haina vituo ya daladala.
Alivyokuwa Rais Alitanua tanua lakni ni nyembamba .
So ikiwa nene na ukahama upande wako hupati ajari?
 
Back
Top Bottom