Amen..Mm huwa situmii kilevi, ila nilibiringika mara tatu ndani ya gari baada ya tairi la mbele ku-bust. Nilikuwa mwendo wa kawaida sana. Ni Mungu tu alitaka niendelee kuwepo duniani, kila aliyeshuhudia tukio hilo alimtaja Mungu.
hakika YESU ni MWOKOZI
😳🤔 Lahaulaah!.... Mtume si mama.Ugali unapikiwa nini? Alitoka kuuza na alikuwa bwax, kipindi hiki wauzaji wamerudi tena na bonge za tambo, waguse kinuke
Kuni na unga ,unapata ugali!! Kat ya hivyo .auUgali unapikiwa nini? Alitoka kuuza na alikuwa bwax, kipindi hiki wauzaji wamerudi tena na bonge za tambo, waguse kinuke
Ata cc tulikuwa kwny kwaresmaIle ajali ilikuwa usiku na yule binti alibadili dini kamfuata mume wake kwa hyo swala la swaumu halipo.
aah hebu mswalie mtume.Ugali unapikiwa nini? Alitoka kuuza na alikuwa bwax, kipindi hiki wauzaji wamerudi tena na bonge za tambo, waguse kinuke
Milele AminaMm huwa situmii kilevi, ila nilibiringika mara tatu ndani ya gari baada ya tairi la mbele ku-bust. Nilikuwa mwendo wa kawaida sana. Ni Mungu tu alitaka niendelee kuwepo duniani, kila aliyeshuhudia tukio hilo alimtaja Mungu.
hakika YESU ni MWOKOZI
Ikiwa marehemu hasemwi basi Magufuli hajafa.Mashuhuda walidai muhusika alitoka bar mda si mrefu ndo akapata ajali unataka uchunguzi gani tena marehemu hasemwi.
Wanaomsema magufuli wanatafuta mtaji wa kisiasa ili wale teuzi ila ukweli wanaujua wenyewe.Ikiwa marehemu hasemwi basi Magufuli hajafa.
Utukufu unaujua wewe.....sio wote waislamuina maana ndani ya mwezi huu mtukufu watu wanavesha tungi??
Jamani mbona iko wazi hapo...anamanisha Unga....Unga yaaani UngaAlitoka kuuza nini
alijitolea zake bar according to muuza bar!Hivi upelelezi wa ile ajali hadi sasa wametoa neno ya kuwa ili sababishwa na nini?
Maana labda kuna kitu tunaweza kujitunza ili tuwe makini tunapo kuwa barabarani.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Nchi yako ikisema inafanyia uchunguzi jambo fulan bas ujue jalada limeshafungwa
Yule lazima ale makwenzi joombona makufuli mnamsema
Kwa hiyo siku hizi mashuhuda ndo wachunguzi wa serikali?Mashuhuda walidai muhusika alitoka bar mda si mrefu ndo akapata ajali unataka uchunguzi gani tena marehemu hasemwi.
Joh makini aliwahi sema katika moja ya nyimbo zake(Ufalme) Tupo ndani ya Nchi ambayo Uchunguzi bado unaendeleaNchi yako ikisema inafanyia uchunguzi jambo fulan bas ujue jalada limeshafungwa
Kwani Kuna gari zina exemption kwenye ajali?Kwani alipata ajali na gari gani?