Nini Kilikuwa Kinaendelea Hapa?

wanaoga ...
Mimi binafsi nafikiri kutokana na hizo pozi hao warembo walikuwa wanachamba nanihinoo mkuu. Huu ni mtazamo wangu baada ya kuifanyia picha upembuzi yakinifu. :heh:
 
kizungumkuti ni hapo wote wanapoonyesha ------, kwa nini wengine wasiwe wamegeukia kwa mpiga picha.
 
Halafu mnalalamika kua mnadhalilishwa. Wakati mnajidhalilisha wenyeweeeeee....

Hakuna kudhalilika hapa, raha jipe mwenyewe, na wengine wanakuongezea tu!! Sasa hapo kwenye jacuzzi hao akina mama mbona wanajipa raha wenyewe. Wewe ulisha oga kwenye jacuzzi na kuona raha zake???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…