Nini kiliikumba Musoma Hotel?

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,371
3,946
Jiwe lake la msingi liliwekwa mwaka 1976, ikiwa chini ya East African Railways. Baada ya mageuzi ya uchumi ilibinafishwa kwa wawekezaji.

Ila kwa sasa imekufa mpaka jengo lake limeporomoka kwa kiasi hiki.

Nini kifanyike sasa au iko kwenye mpango gani serikali ?Yaani Musoma wamekosekana watu wakaendeleza hili eneo?

NB:
Kwa wale walio na picha za hii Hotel enzi hizo ikiwa juu waweke hapa tuone na sisi.

 
Musoma kuna wageni gani wa maana wa kutumia hoteli za daraja la juu? Ule mji ni mdogo mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…