tofyo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 2,759 Reaction score 768 Oct 20, 2016 #1 Mtandao pendwa wa Wikileaks jana umefungwa rasmi na serikali ya Ecuodor. Hii inaonyesha wazi kwamba Marekani maji yamezidi unga.
Mtandao pendwa wa Wikileaks jana umefungwa rasmi na serikali ya Ecuodor. Hii inaonyesha wazi kwamba Marekani maji yamezidi unga.
Bowie JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 4,373 Reaction score 6,086 Oct 20, 2016 #2 Hujui kuanzia majuzi kashfa dhidi ya mgombea urais wa Marekani zilianza kutolewa, namaanisha udhaifu na sababu za Hiraly Clinton kutofaa kuwa Rais wa Marekani. Lakini hiyo hata baada ya Wikileaks kutoweka bado Wikileaks inatoa ripoti zake.
Hujui kuanzia majuzi kashfa dhidi ya mgombea urais wa Marekani zilianza kutolewa, namaanisha udhaifu na sababu za Hiraly Clinton kutofaa kuwa Rais wa Marekani. Lakini hiyo hata baada ya Wikileaks kutoweka bado Wikileaks inatoa ripoti zake.
NALIA NGWENA JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 11,291 Reaction score 14,573 Oct 20, 2016 #3 duh noma sana au malaika kashuka na kuzima mtandao huo
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,264 Oct 20, 2016 #4 assange amepata emails nyingine nyingi za Hillary Clinton sasa maerekani imakata internet connection kwenye ubalozi ambao Assannge yumo humo
assange amepata emails nyingine nyingi za Hillary Clinton sasa maerekani imakata internet connection kwenye ubalozi ambao Assannge yumo humo
TuntemekeSanga JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 1,346 Reaction score 863 Oct 20, 2016 #5 DUH! Ngoma inogile kumbe