SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 7,259
- 6,904
Has Chadema Reformed?Kwa siku kadhaa nilikuwa nimetoweka hapa JF. Kabla ya kutoweka nilishiriki mjadala mrefu kwenye FOCUS 2010 na CHADEMA must reform.
kumezuka hoja ya kuiondoa CCM madarakani- lakini swali la ziada limezuka- kwa ajili gani? Nini kifuate baada ya kuitoa CCM madarakani?
Mjadala huu ni muhimu kwa kuwa naamini kabisa ushirikiano wa vyama kama wa CHADEMA, CUF, TLP na NCCR Mageuzi unapaswa kusikiliza matakwa ya umma kwa kiasi kikubwa. Swali hili ni muhimu kwa kuwa linaweza kutoka na ajenda za msingi za uchaguzi wa mwaka
Mjadala huu ni kwa yoyote ambaye ana Tanzania anayoitaka ambayo anaona bado utawala uliopo haujaweza kuileta.
Nchi tuirudishe mikononi mwetu wananchi, hizi familia zilizogawana madaraka ili zitajirike tuziweke pembeni kwani hazina nia njema na nchi.Taarifa huwa haziozi.
Hoja hiyo kwenye mada; Iliibuliwa na siye Mwingine bali Nguli wa Siasa wa CHADEMA.
Unaweza pitia hapa kwa Taarifa
Bila ya Kuharibu shehena.
Hatahivyo nitamnukuu kiunagaubaga.....
Has Chadema Reformed?
Imetoka Maktaba.
Nchi tuirudishe mikononi mwetu wananchi, hizi familia zilizogawana madaraka ili zitajirike tuziweke pembeni kwani hazina nia njema na nchi.
Hayo ni maoni yako kwa kuwa CCM imo moyoni mwako, duniani hakuna nchi ya wajinga.Kwa aliyoyasema Mh. Tundu Lissu baada ya kuongea Temeke
Sioni kama hilo litakuja kutokea.
Sidhani.
Naafiki.Hayo ni maoni yako kwa kuwa CCM imo moyoni mwako, duniani hakuna nchi ya wajinga.
"Hoja ya kuiondoa CCM madarakani", hilo ni lengo moja linalojitosheleza kabisa, hata bila kuwa na malengo mengine ya ziada kwa sasa.
Tabia ya kung'ang'ania kukaa madarakani kwa gharama yoyote iliyojitokeza ndani ya chama hicho ndiyo sababu muhimu ya kuwaondoa, hata ikiwa kwa kutumia nguvu.
Dah!Nimeandika, Nimefuta.
tokea saa moja asubuhi na haya ndiyo nimepata...
CHADEMA has a lot of Convincing to do!
Huruma zikiisha potea, kwa Mh.Mbowe na Kwa Mh.Tundu Lissu, yaani shauku za kumwona mtu aliepona risasi na aliyotoka Jela zikaishia sijui nini haswa kitaja tokea.
Just saying.
Haya ni mawazo ya kimagufuli,wale mafisadi woote na wahujumu uchumi,wanyangh'anywe pesa zoote zije zijenge uchumi wa nchi,hili linahitaji mtu jasiri na shupavu kama jpm,Kukamata majizi yote na kurudisha mapesa yote yaliyofichwa nje ya nchi