Nini kifanyike kuisambaratisha CCM?

Manufaa ya kimakanikia
 
Tulifikiri ninyi CDM mnajua jinsi ya kisambaratisha CCM,mnatuuliza sisi tena?
 
Tulifikiri ninyi CDM mnajua jinsi ya kisambaratisha CCM,mnatuuliza sisi tena?
Hapa siwakilishi mawazo ya CHADEMA bali ya watanzania wenzengu waliochoshwa na CCM. Halafu tabia yenu ya kujidai mnajua kila kitu ndiyo inawakwamisha na kutukwamisha sisi sote kama taifa!
 
2020 wagogo tu ndo watakaoichagua ccm
Watake radhi ndugu zangu. Mwaka juzi nilikuwa huko "kwetu" maeneo ya Chigwingwili, Hogolo,Songambele, Nzoisa, Kibaigwa, pingalame, Sagara na kongwa kwenyewe, kitu pekee nilichokiona ni kwamba Kibaigwa inaibadili Kongwa na muda si mrefu watu wa aina ya "babu" yangu Job Ndugai watapigwa mweleka na vijana wazalendo wa maeneo hayo!
 
Matumizi ya ruzuku ya Chadema huwa yanapitishwa na nani?
Kwani chadema nao wanakusanya kodi kutoka kwa wananchi mkuu kwa serikali yao IPI walounda hao hiyo kivuli ya bungeni[emoji23] [emoji23]
 
Nchi ipo salama, wewe mbona unafanya maigizo kama viongozi (wabunge wako)nchi isingekuwa saama mngefanya siasa?CCM itakuwa nambari moja hata zaidi ya miaka 100
 
Hapa siwakilishi mawazo ya CHADEMA bali ya watanzania wenzengu waliochoshwa na CCM. Halafu tabia yenu ya kujidai mnajua kila kitu ndiyo inawakwamisha na kutukwamisha sisi sote kama taifa!
Seriously,unaweza kupata mbinu za kuiangusha CCM hapa JF?.Au unataka kupiga porojo tu
 
Tutaanza kutumia video zileeeee za chadema wakituaminisha kuwa lowasa ni fisadi
 
chama kishajifia hicho kina survive kwa nguvu ya pesa haram tu
 
Lakini , Arusha,Mbeya n.k wamejitahidi kuing'oa CCM...lakini njia mbadala pia successful nikutumia Kibiti style tu..Kule hawafulukuti
 
Seriously,unaweza kupata mbinu za kuiangusha CCM hapa JF?.Au unataka kupiga porojo tu
Poleni sana watanzania mapambano yanaanzia mbali kwann uwezo wetu watanzania unakuwa ni MDOGO sana wakufikir HV kama mitandao ya kijamii haina adhari kwa hao madikteta wako kwanini wanalilia kui-ban....[emoji15] [emoji15]
 
Tuanza upya mfumo wa vyama vingi.
Tutengeneze mfumo wetu wa namna ya kuishi pasipo kutegemea/kukopi mifumo ya kibeberu.
Nafikiri tungelianzisha mjadala wa ni lini Azimio la Arusha litarejea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…