Nini kifanyike ili kuzuia goli la mkono

Nini kifanyike ili kuzuia goli la mkono

NZONG'A

Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
17
Reaction score
2
wadau wakati sasa umefika kujitahidi kupost mbinu mbalimbali za wizi wa kura. humu jf wengi hupita kwa kusoma tu. kama mm. mm Niko kijijin kabisa naombeni mnipe mbinu ili niendeleze harakat za kuzuia for LA mkono.

wadau naomba ushauri maana mm no mchanga kwenye hhii siasa
 
Ngoja makipa waje...watakupa mbinu za kuzuia
 
Kwanza kabisa Mbowe lazima aachie ngazi kwa kukaribisha mafuriko yaliyo gharikisha UKAWA
 
Inatakiwa mwananchi yeyote wa movement break ccm ambaye upo kalibu na mgombea yeyote wa ukawa amwambie kua waombe luhusa kwa mawakala wawe wanachukua video za tukiozima la uchaguz kila kituo mbaka utoaji wa matokeo ya mwisho! kama walivyofanya kenya! na wahesabu mbaka ucku cc atulal 2nasubili matokeo!!
 
mkuu mbinu sahihi ya kuzuia goli la mkono ni kupiga kura na kisha kuilinda kura yako.utailindaje kura yako? nasema hv nikiwa na maana kwamba baada ya kupga kura unatakiwa ukae umbali wa mita 100 kutoka kwenye kituo na uhakikishe kila kitu kinachofanyika unakijua. hii itasaidia
 
kwanza unatakiwa ulijue goli la mkono likoje. pili waelimishe wananchi wanaokuzunguka kuhusiana na mabadililo. Ondoa CCM.
 
wasimamizi WA chaguzi mbalimbali WA vyama vya upinzani waandaliwa mamilion ili kupindisha matokeo!
 
kutoruhusu wafike kwenye 18 ( yani kutotegemea matokeo ya dakika za mwisho.Ushindi wa mapema ndio muhimu
 
1: MAWAKALA KUNUNULIWA(kukubali kubadilishiwa matokeo)
2: Vituo Bubu ktk maeneo ambayo watu hawapajui, kuwa vituo vya kupigia kura, visivyofahamika na wenyeji!!
3:Majina ya wapiga kura kupelekwa kwenye Vituo vingine wasivyovifahamu, ili iwe rahisi kuwa-Confuse na kukata tamaa ya kupiga Kura.(mara nyingi sana tumeona, jinsi nec wanavyochelewa kutoa majina ya wapiga kura ili wasipate muda wa kuhakiki taarifa zao ktk vituo Mbalimbali vya kupigia kura.

4: List Kubwa ya wapiga kura, ambao ni Void, ikilinganishwa na waliojiandikisha ambao hawajahakikiwa(Audited) na hii hutumika kurahisisha kumwongeza kura waliyemkusudia kushinda.

5: Masanduku ya kura kuandaliwa, na kura zilizopigwa tayari kwa ajili ya kuChanganya kwenye mjumuisho

6: Uhusika wa vyombo vya usalama ktk kufadhili mpango kazi wa UChakachuaji,

7:Mkurugenzi wa Tume ya Taifa, kutangaza jina la aliyeshindwa kwamba ndie mshindi, chini ya Usimamizi wa Vyombo vya Dola

8: UCHakachuaji wa ki-Electronic kwenye mifumo ya Mjumuisho wa KURA- especially kura za urahisi-
hapa kunakuwa na System imeandaliwa ili ku-Invert matokeo kumpendelea waliyemkusudia


ETC
 
Back
Top Bottom