KAZI YA ADOBE READER NI KUZIFANYA DOCUMENTS ZENYE FORMATS MBALIMBALI ZIWEZE KUSOMEKA KUPITIA MASHINE YAKO IWE SIMU, TABLET AU PC. ILA FORMAT YA DOCUMENT YA .PDF ([FONT=arial, sans-serif]Portable Document Format[/FONT]) NDIO MAARUFU ZAIDI KWENYE ADOBE READER MBALI NA IYO, NYINGINEZO ZINAZOWEZA KUFUNGULIWA AU KUZOMEKA KUPITIA ADOBE LEADER NI KAMA VILE FORMATS ZA .doc, .docx, .xls, .xlsx, .ppt, .pptx, .txt, .rtf , NK.
KUNA PROGRAMU NYINGINE ZINAZOWEZA KUFANYA KAZI SAWA AU KAMA ADOBE LEADER AMBAZO NI Wondershare PDF Editor, Forxit Reader 7, Sumatra PDF na Evince, zipo nyingi ila hizo na baadhi tu.[h=1][/h]