Nini Jigambe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini Jigambe?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief Lugina, Sep 21, 2011.

 1. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtazamaji ametoa ufafanuzi wa jinsi ya kufanya online marketing,wa2 wanetoa njia nzuri za kujitangaza,google ina njia kibao za kufanya marketing,JF ina forum ya matangazo cha ajabu hawa watu wajigambeAds wao ndiyo wamekuwa wanatawala jukwaa letu na matangazo yao ya jigambe,na kweli wanajigamba kweli kweli. Halikuwa dhumuni langu kuweka thread juu ya kupinga project/biashara yenu lakini baada yakuona hamfuati ushauri wa wadau hapa ndani nimeona nifunguke kuwa "MNA BOA" mtazamaji amewaambia na mnajua hapa hakuna wateja zaidi ya watazamaji kama kina Chief hapa. Bahati nzuri mmeenda ku-download application na ku-host,kwa hiyo kwa mtu kama mimi ambaye najua mne-download wapi hiyo directory app. sioni jipya....PLZ 2achieni jukwaa le2...."Ihate jigambe and their products"
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Teh tehe Chief Lugina dont hate nadhani muhusika mwenyewe atakuwa ameelewa.
   
 3. Shark's Style

  Shark's Style JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 207
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Mie nafikiri kule kwenye jukwaa la matangazo ya biashara mods wangeweka categories za hayo matangazo manake watu wengine kule hawapendi types fulani za biashara so mfano kukiwa na sub-forum ya matangazo yanayohusu biashara ya technology itakuwa poa manake mtu hawez kupost mambo ya bishara ya tech mahali ambapo anajua watembezi wengi aliowalenga hawapo huko au hawapendeleli kuwa huko.
   
 4. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kule mimi nimejısajılı na blog yangu bt sıjuı nını kınachoendelea kama vp check blog hii
  GSHAYO
   
 5. Profee Essoree

  Profee Essoree Member

  #5
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Silence means yes kaka,Mtazamaji amesomeka kwa advice yake thus y bado tunayafanyia kazi,mheshiwa Chief Lugina haina haja ya kuwakataa wanao bwana tunahitaji mawazo yako siunajua kaka bongo yenyewe tupo nyuma kwa mambo ya Tech. me ninauhakika humu kwa jukwaa la Tech. ndipo kwa kupata views tofautitofauti ndiyo maana tukajaa sana kwa wenye hizi Interests.Kaka Mtazamaji nimepita nami kupasha misuli ya ICT mule mwako,ipo poa kaka na nimependa sana coz upo kiTz zaidi,ila fikiria kuhusu Background ya page.Tupo pamoja kaka Chief Mgina,usimind kihivyo bwana,si waTz tu!
   
 6. Profee Essoree

  Profee Essoree Member

  #6
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Woyooooooo,kaka nimeipenda ipo poa!
   
Loading...