Nini hukupa faraja pindi unapoishiwa?

Nini hukupa faraja pindi unapoishiwa?

Hua nafarijika nikiwa bado nasoma nilitamani baada ya shule niwe na kwangu ,usafiri ,vibiashara tofauti tofauti ...Nashukuru vyote hvi vimeshapita mikononi kwangu japo Kuna vingine nilivipata na Sasa Sina kutokana na maisha kubadilika ila hamna ninachojutia mapambano yanaendelea...... Ogopa kuishiwa
You are a good kid. Sometimes ni ukichaa unaujaza kichwani mwako. This shit u wrote is too deep. Na Mwenyezi Mungu akupe sawa sawa na matamanio ya moyo wako kwakua u are a hard working kid. Ila uhuni punguza mdogo wangu.
 
Aisee, katika kitu kinanipaga faragha katika nyakati ngumu kama hizo ni daima kujikumbusha kwamba mungu atanipa tu lini sijui ila nina imani atanipa tu. Zaidi huwa nashukuru na nisicho nacho sijikwezi najikubali sina. Matamaniyo ninayo mengi inapokua hata robo bado ila naamini katika Neema ya Mungu. Namwomba sana akazidi nifungulia milango yangu nami nikawe msaada kwa wale wahitaji walioandikiwa kupata riziki kupitia mgongo wangu.
 
Mwaka juzi kwa upande wangu mambo yalisimama kwa muda
Katka mapito hayo ndio mwanzo wa kuanza hata kuandika hapa jf ilikua nasomaga tu miaka yote bila ya kuweka comment ya aina yoyoye
Mimi mambo yakiwa hovyo ni mwendo wa bia na wanawake
 
Nikiwa chuo baada ya kupewa likizo ya kwenda masomoni nilipigika vibaya sana ndugu na jamaa zangu walinifungia vioo wakijui sina hela kwa kuwa nipo masomoni nikawa najipa moyo kwa kukumbuka nilivyokuwa nakula bata nikiwa job huku nikijipa moyo ipo siku masomo yataisha na kurudi kwenye mishe zangu nikiwa na salary ndefu, saizi sitaki urafiki wa kibwege kila mtu apambane na hali yake na kila mtu apambane na shida zake kama na mimi nilivyokula msoto.
 
😊👇
RDT_20210710_2310405673389929941333489.png
 
mostly ni assets ninazomiliki hunifanya nifarijike sana hata nikimwambia mtu sina cent lazma akatae jpo mwenyewe nanijua nmepigika
 
Back
Top Bottom