Nini Hufuata baada ya kumaliza Tendo??

Akili Pesa

JF-Expert Member
Jun 18, 2014
599
1,000
Wakuu tukararibie tupeane mawazo!
Nimejiuliza sana huwa wengi wengi hufanya tendo la ndoa/ngono na wenza wetu lakn pale tunapomaliza huwa tunafanya nini na wenza watu??
Watu wa saikolojia ya mahusiano wanadai kuwa "MWANAMKE humpenda na kumnyenyekea zaid Mwanaume mwenye kumaliza tendo nae kumuweka karbu zaid baada tu ya tendo".
Pia wanasema "Muda mzuri kwa MWANAUME kumjua Mwanamke ameridhika naye na anampenda na kumthamini yeye na si mwanaume mwingine basi ni mara tu baada ya tendo lile" kitu ambacho asilimia kubwa ya wanaume hatuifanyi bali humaliza na kuweka mambo mengine kichwani.
Je huwa tunafanya nini mara tu baada ya kumaliza tendo??

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mgugu

JF-Expert Member
Jul 1, 2015
2,154
2,000
Wanawake hupenda kukumbatiwa baada ya kumaliza tendo
Wanaume hupenda kupewa nafasi ya kupumzika (alale) na ikiwezekana wakae mbali hata wasigusane na mwenza wake.
Hapo ndio unatakiwa ujifunze vizuri hesabu za hasi na chanya la sivyo unaweza ukasababisha shoti.

Maendeleo hayana chama
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom