mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 896
- 2,974
Nimekuona hamnazo uliposema dunia ya sasa ng'ombe hawana soko.Ukabila Hauna maana yoyote kwa dunia ya sasa, lakini Bado zipo jamii zimekumbatia sana Mila na desturi zao , masai ni Moja wapo.
Tupo Dunia ya kibepari ambayo inahitaji akili nyingi na macho ya dhahabu ya kuona vitu na fursa, stori za sasa ni pesa pesa pesa. Cha ajabu kwa ndugu zetu masai mifumo Yao ya utafutaji imeathiriwa sana na Mila zao, masai anafanywa kivutio Cha utalii ( kwa wazungu wanamuona masai sawa na swala yaani masai)
2.Masai anauza mizizi , mikanda , na viatu ambavyo I think soko lake lipo chini sana kwa hiyo Bado hatengenezi pesa3. Masai anataka achunge ng'ombe ambao Dunia ya sasa hawana soko, wanapoteza muda mwingi kuwachunga na Kwa mabadiliko ya hali ya hewa na ongezeko la watu duniani, sion kama masai atendelea na huu mfumo wa kuchunga, je kwa life style ya masai nini hatma yao
Bwana Loth, hilo sio kweli hata kidogo. Kwanza kabisa wanazo teknolojia zao, na ingawaje zinaweza kuonekana kama zimepitwa na wakati, bado ni za hali za juu.Kwa haya mabadiliko ya tabia nchi na mabadiliko ya kijami yanayochochewa na teknolojia watabadika wenyewe bila kulazimishwa.
...ni vigumu sana kumkuta mmasai aliyesoma halafu aka achana na mila zao za kienyeji. mfano mzuri ni mwendazake Lowasa.Watoto wao wanasoma, wakiwa wasomi huachana na mila zao za kienyeji
Sijui umeokota wapi haya.Ukabila Hauna maana yoyote kwa dunia ya sasa, lakini Bado zipo jamii zimekumbatia sana Mila na desturi zao , masai ni Moja wapo.
Tupo Dunia ya kibepari ambayo inahitaji akili nyingi na macho ya dhahabu ya kuona vitu na fursa, stori za sasa ni pesa pesa pesa. Cha ajabu kwa ndugu zetu masai mifumo Yao ya utafutaji imeathiriwa sana na Mila zao, masai anafanywa kivutio Cha utalii ( kwa wazungu wanamuona masai sawa na swala yaani masai)
2.Masai anauza mizizi , mikanda , na viatu ambavyo I think soko lake lipo chini sana kwa hiyo Bado hatengenezi pesa3. Masai anataka achunge ng'ombe ambao Dunia ya sasa hawana soko, wanapoteza muda mwingi kuwachunga na Kwa mabadiliko ya hali ya hewa na ongezeko la watu duniani, sion kama masai atendelea na huu mfumo wa kuchunga, je kwa life style ya masai nini hatma yao
Inawezekana wewe ndio hamnazo kabisa, ngombe soko lake ni kubwa ila style ya wamasai kuchunga porini na kuhama hama watapata wapi malisho Kwa Dunia ya sasaNimekuona hamnazo uliposema dunia ya sasa ng'ombe hawana soko.
Ukiona kitu hukielewi ujue hakikuhusu.
Mfugo una soko sana style ya uchungaji na aina ya mifugo yao inawakata, wewe unafuga ngombe hadi afikishe kilo mia mbili miaka saba, mwenzako anafuga mwaka na nusu kilo mia mbili sasa mtafananaMfugo hauna soko???are you serious mkuu
Kuwajadili watu wanaoishi kwa jasho lao hata haileti mantiki.Ukabila Hauna maana yoyote kwa dunia ya sasa, lakini Bado zipo jamii zimekumbatia sana Mila na desturi zao , masai ni Moja wapo.
Tupo Dunia ya kibepari ambayo inahitaji akili nyingi na macho ya dhahabu ya kuona vitu na fursa, stori za sasa ni pesa pesa pesa. Cha ajabu kwa ndugu zetu masai mifumo Yao ya utafutaji imeathiriwa sana na Mila zao, masai anafanywa kivutio Cha utalii ( kwa wazungu wanamuona masai sawa na swala yaani masai)
2.Masai anauza mizizi , mikanda , na viatu ambavyo I think soko lake lipo chini sana kwa hiyo Bado hatengenezi pesa3. Masai anataka achunge ng'ombe ambao Dunia ya sasa hawana soko, wanapoteza muda mwingi kuwachunga na Kwa mabadiliko ya hali ya hewa na ongezeko la watu duniani, sion kama masai atendelea na huu mfumo wa kuchunga, je kwa life style ya masai nini hatma yao
Katika kutafuta pesa wako vizuri mno.. kuliko baadhi ya makabila. Ni majasiri wa kukamata fursa. Niambie ni fursa gani hawamo kabisa? Kila kabila lina utamaduni wao, na watu wenye maisha ya kawaida wanautumia kama fursa. Wengine kuchunga, wengine kilimo cha mkono, kuchonga vinyago nk. Ukisema kila mtu aachane na kazi au utamaduni wa babu yake utazalisha jobless wengi mno.. NAAMINI KATIKA KUBORESHA ASILI ILI IWE FURSA SIO KUIACHA NA KUIGA ZA WENGINEUkabila Hauna maana yoyote kwa dunia ya sasa, lakini Bado zipo jamii zimekumbatia sana Mila na desturi zao , masai ni Moja wapo.
Tupo Dunia ya kibepari ambayo inahitaji akili nyingi na macho ya dhahabu ya kuona vitu na fursa, stori za sasa ni pesa pesa pesa. Cha ajabu kwa ndugu zetu masai mifumo Yao ya utafutaji imeathiriwa sana na Mila zao, masai anafanywa kivutio Cha utalii ( kwa wazungu wanamuona masai sawa na swala yaani masai)
2.Masai anauza mizizi , mikanda , na viatu ambavyo I think soko lake lipo chini sana kwa hiyo Bado hatengenezi pesa3. Masai anataka achunge ng'ombe ambao Dunia ya sasa hawana soko, wanapoteza muda mwingi kuwachunga na Kwa mabadiliko ya hali ya hewa na ongezeko la watu duniani, sion kama masai atendelea na huu mfumo wa kuchunga, je kwa life style ya masai nini hatma yao
Ufugaji bado una soko kubwa na litaendelea kukua. Hoja ni kuwa, utaratibu wao wa ufugaji wa kuwa na mifugo wengi wanaolishwa misituni umeanza kuwa na changamoto. Kuna mabdiliko ya hali ya hewa na ongezeko la watu na kilimo ambavyo vimepunguza ukubwa wa maeneo ya malisho.Ukabila Hauna maana yoyote kwa dunia ya sasa, lakini Bado zipo jamii zimekumbatia sana Mila na desturi zao , masai ni Moja wapo.