mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 773
- 2,587
Ukabila Hauna maana yoyote kwa dunia ya sasa, lakini Bado zipo jamii zimekumbatia sana Mila na desturi zao , masai ni Moja wapo.
Tupo Dunia ya kibepari ambayo inahitaji akili nyingi na macho ya dhahabu ya kuona vitu na fursa, stori za sasa ni pesa pesa pesa. Cha ajabu kwa ndugu zetu masai mifumo Yao ya utafutaji imeathiriwa sana na Mila zao, masai anafanywa kivutio Cha utalii ( kwa wazungu wanamuona masai sawa na swala yaani masai)
2.Masai anauza mizizi , mikanda , na viatu ambavyo I think soko lake lipo chini sana kwa hiyo Bado hatengenezi pesa3. Masai anataka achunge ng'ombe ambao Dunia ya sasa hawana soko, wanapoteza muda mwingi kuwachunga na Kwa mabadiliko ya hali ya hewa na ongezeko la watu duniani, sion kama masai atendelea na huu mfumo wa kuchunga, je kwa life style ya masai nini hatma yao