Nini hatma ya ubunge/uongozi wa Chenge baada ya hukumu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini hatma ya ubunge/uongozi wa Chenge baada ya hukumu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kisoda2, Dec 31, 2010.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  inawezekana nikawa nyuma ya mabadilikob ya katiba na vipengele vya sheria hapa nchini.Ila kwa ufahamu wangu ni kwamba ukikiwa na tuhuma na kuthibitika mahakamani unakosa na hukumu ikatolwa kama adhabu ya kosa hilo iwe kifungo/fine ama vyote viwili na ukavitekeleza.tayari unakuwa haunasifa ya kuwa kiongozi.

  Je, kwa hili la Chenge wajuvi wa sheri naomba mnijuze itakuaje.
   
Loading...