Walimpelekea kituo cha kupigia kura wakati haongei, haoni, hajui kinachoendelea, alipigaje kura? Ama ni kama kipindi kile cha bunge la katiba mama yake zito alipiga kura wakati tayari alikua amekufa siku nyingi.
Ukiwa kwenye life support mara nyingi unakua kwenye ile hali inaitwa terminally dead but medically alive.
Mtoto wa mtu aliyepigwa risasi 38 kisha akaambiwa katoroka bila taarifa kwa Spika aliniuma sana.
Huyu si kajifia tu, mbona watu wanakufa kila siku na silii
Hayo yote nayajua ila mm staki kusikiaga kifo.kifo kilimchukua baba yangu,queen rafiki yangu, mathias yafiki yangu. Stakagi kusikia kifo. Hata kama ingetokea huyo aliyepigwa risasi akafa ningelia kama ninavyolia sasa hivi.
Tusiwaze mali na vitu vya duniani
Tuomboleze aliyefariki ni binadam mwenzetu, alikuwa Rais isingekuwa rahisi kumfurahisha kila mtu lakini kwa nafasi yake kapambana kusimamia alichokiamini.