Miradi yote hiyo itaendelea tu kujengwa kwa sababu CCM ni ile ile! Labda kama Rais angetoka upinzani, hapo tungeongea stori nyingine kabisa. Hiyo miradi yote ingefutiliwa mbali! Maana ina chembe chembe za upendeleo.Maswali tu kwa miradi ambayo wengi waliona ni kama ya kijipendekeza kwa mpedwa
1. Je uwanja wa ndege Chato utakuwa na wateja wa kutosha
2. Hotel ya Tanapa wanayojenga ya nyota tatu je watalii watakuja?
3. Uwanja wa mpira mkubwa unaojegwa je kitakuwa na timu?
Wengi tuna wasiwasi na haya. Kuna wilaya nyingi sana nafikiri zina zidi Chato mfano wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Babati mkoani Manyara ..... na mingineyo ambayo ingetakiwa kuwa na uwanja wa ndege. Inabidi tuangalie miradi
Wakati hakuna tatizo lolote lile kujadili masuala ya miradi ya kimkakati. Kuna muda hawa wenzetu (mods) wanazingua!Natabiri hii thread kufutwa ndani ya dakika 10
Miradi yote hiyo itaendelea tu kujengwa kwa sababu CCM ni ile ile! Labda kama Rais angetoka upinzani, hapo tungeongea stori nyingine kabisa. Hiyo miradi yote ingefutiliwa mbali! Maana ina chembe chembe za upendeleo.
Wanaogopa tuWakati hakuna tatizo lolote lile kujadili masuala ya miradi ya kimkakati. Kuna muda hawa wenzetu (mods) wanazingua!
Vyote hivyo vitajengwa tu kama njia mojawapo ya kumuenzi marehemu. Ila baada ya hapo, nadhani kipaumbele kitapungua sasa...hata uwanja wa mpira utajengwa?
..kwa maoni yangu Hospitali ya Rufaa, Veta, na miradi mingine inayogusa wananchi wa kawaida iendelee.
..ila nina wasiwasi kwamba mbunga ya burigi-chato, na mradi wa hoteli ya nyota tatu, itadorora miaka michache ijayo.
Vyote hivyo vitajengwa tu kama njia mojawapo ya kumuenzi marehemu. Ila baada ya hapo, nadhani kipaumbele kitapungua sasa.
Maswali tu kwa miradi ambayo wengi waliona ni kama ya kijipendekeza kwa mpedwa
1. Je uwanja wa ndege Chato utakuwa na wateja wa kutosha
2. Hotel ya Tanapa wanayojenga ya nyota tatu je watalii watakuja?
3. Uwanja wa mpira mkubwa unaojegwa je kitakuwa na timu?
Wengi tuna wasiwasi na haya. Kuna wilaya nyingi sana nafikiri zina zidi Chato mfano wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Babati mkoani Manyara ..... na mingineyo ambayo ingetakiwa kuwa na uwanja wa ndege. Inabidi tuangalie miradi
Hasa Babati ni wilaya muhimu sana kupata uwanja wa ndege mkubwa maana ipo katikati ya mbunga kubwa sana.Maswali tu kwa miradi ambayo wengi waliona ni kama ya kijipendekeza kwa mpedwa
1. Je uwanja wa ndege Chato utakuwa na wateja wa kutosha
2. Hotel ya Tanapa wanayojenga ya nyota tatu je watalii watakuja?
3. Uwanja wa mpira mkubwa unaojegwa je kitakuwa na timu?
Wengi tuna wasiwasi na haya. Kuna wilaya nyingi sana nafikiri zina zidi Chato mfano wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Babati mkoani Manyara ..... na mingineyo ambayo ingetakiwa kuwa na uwanja wa ndege. Inabidi tuangalie miradi
Bado ipoNatabiri hii thread kufutwa ndani ya dakika 10
Je uwanja wa ndege wa chatou utakuwa na faida kwa taifa?Miradi yote hiyo itaendelea tu kujengwa kwa sababu CCM ni ile ile! Labda kama Rais angetoka upinzani, hapo tungeongea stori nyingine kabisa. Hiyo miradi yote ingefutiliwa mbali! Maana ina chembe chembe za upendeleo.
Hapo nadhani sasa kaingia kada wa ccm ndiyo maana nyuzi nyingi wanazifuta.Wakati hakuna tatizo lolote lile kujadili masuala ya miradi ya kimkakati. Kuna muda hawa wenzetu (mods) wanazingua!
Miradi haitakufa
Miradi haitakufa
Miradi haitakufa.
Sometimes upinzani hukosa maana kabisa, miradi ya chato iko Tanzania hamjakatazwa kuitumia.
Lakini kila siku ni makelele chato,chato,chatoooo.....so what?
Hata uwanja wa ndege sioni kama utakuwa na muendelezo tena..hata uwanja wa mpira utajengwa?
..kwa maoni yangu Hospitali ya Rufaa, Veta, na miradi mingine inayogusa wananchi wa kawaida iendelee.
..ila nina wasiwasi kwamba mbunga ya burigi-chato, na mradi wa hoteli ya nyota tatu, itadorora miaka michache ijayo.
Baada ya pinda airport ya katavi ipojeMaswali tu kwa miradi ambayo wengi waliona ni kama ya kijipendekeza kwa mpedwa
1. Je uwanja wa ndege Chato utakuwa na wateja wa kutosha
2. Hotel ya Tanapa wanayojenga ya nyota tatu je watalii watakuja?
3. Uwanja wa mpira mkubwa unaojegwa je kitakuwa na timu?
Wengi tuna wasiwasi na haya. Kuna wilaya nyingi sana nafikiri zina zidi Chato mfano wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Babati mkoani Manyara ..... na mingineyo ambayo ingetakiwa kuwa na uwanja wa ndege. Inabidi tuangalie miradi
Chattletown ni tourist destination mkuu yenye vivutio kama Chattle game reserveJe uwanja wa ndege wa chatou utakuwa na faida kwa taifa?
Nani na abiria wapi watatumia huo uwanja wa ndege?
Hiyo Hotel itapata wapi wateja?